Kafulila azidi kulikaribia Bunge Dodoma, azidi kupeta mahakamani

1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda KAFULILA Leo katika mahakama kuu kanda ta Tabora.

Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.

2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya HASINA ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge.

3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.
Hata siku ya hukumu mkipigwa toeni taarifa hivihivi...
 
Ha!ha! Mungu mbariki Kafulila maana anawatu wengi nyuma yake wenye imani nae,wenye imani nawe,pia mtendee haki na haki ionrkane imetendeka
 
Sijui Wenje kwanini hakushtuka mapema kama Kafulila!

Angeweza kufanya hivyo ila bado asipewe hiyo haki kwani nadhani kila judge ana namna yake ya kufikia hitimisho. Nakubali kukubali kwa wenje masanduku kufunguliwa na kura kuhesabiwa upya hilo lilikuwa pigo kubwa kwake kwani usimamizi wa yale masanduku haukuwa chini yake. Vinginevyo ilikuwa ni overconfidence kuwa hata kama watarudia kuhesabu idadi itakuwa ile ile iliyo katika form. Hilo linawezekana ikiwa hautafanyika mchezo mchafu kwenye masanduku ya kura.
 
Back
Top Bottom