Kafulila azidi kulikaribia Bunge Dodoma, azidi kupeta mahakamani

Kwa kweli haki itendeke kwa Kafulila na Wenje. Mimi nina imani kubwa sana Mahakama za juu hasa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa. Wanatenda sana haki.
 
Wabunge wengi wa ccm wamomjengoni kirushwarushwa hata jpm anajua hivyo ndomaana tangu amechukua nchi hajawahikusikika akisema habali za ccm anachosema ni tanzania inataka maendeleo nahajavaa nguo yoyote yenye kuashilia ccm
 
Kafulila kaza buti utatinga mjengoni kwa soon maama wanajua ukikfika utaibia madudu mengine ndomaana wanajaribu kupindisha ukweli
 
1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda KAFULILA Leo katika mahakama kuu kanda ta Tabora.

Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.

2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya HASINA ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge.

3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.
 
Sijui Wenje kwanini hakushtuka mapema kama Kafulila!
 
1.Mwendelezo wa kesi ya kamanda KAFULILA Leo katika mahakama kuu kanda ta Tabora.

Jaji wa mahakama kuu kanda ya Tabora amesema mahakama itatumia kujumulisha matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambazo zilizo na matokeo ya jimbo zima.

2. Hata hivyo jaji kaelekeza mahakama haitofungua masanduku ili kuhakiki matokeo ambayo ndio ilikuwa hoja ya HASINA ambaye ndiye aliyetangazwa kuwa mbunge.

3. Mungu anaendelea kututendea haki awajaze uzima wale ote wanakwenda kumalizia kazi nyepesi ya kujumulisha matokeo.
kama ni hivyo,ushindi hauko mbali
 
Kwa kweli haki itendeke kwa Kafulila na Wenje. Mimi nina imani kubwa sana Mahakama za juu hasa Mahakama Kuu na Mahakama ya Rufaa. Wanatenda sana haki.

Kiongozi niko nyuma ya msimu. Hivi na Wenje naye yuko Mahakamani? Tafadhali naomba unijuvye.
 
Back
Top Bottom