Kafulila angekuwa CHADEMA.........

Kwa sababu ya ongezeko la Ma-Rev feki kama wewe,jina unalotumia na maneno yako tofauti kabisa.Ukapimwe kichwa wewe!
 
kwani wote walioko CDM wanasikika eg SUGU Kafulila yuko makini ndiyo maana kila akichangia lazima muuongozo wa spika uombwe
 
Mtu mwenye uwezo kama Kafulila ndani ya CDM ni Zitto Kabwe, peke yake! Hawa wengine ni mateka wa siasa tu!

Ritz

Naomba hapo kwenye red unitake Radhi...sijawahi kuwa na sitawahi kuwa MATEKA.So naomba uache matusi,stop generalizing issues!Kati ya vitu ninavyovichukia katika maisha yangu ya kisiasa ni hicho.So naomba usipende kuhusisha kila mtu
 
Back
Top Bottom