Ileje
JF-Expert Member
- Dec 20, 2011
- 8,798
- 12,240
Hivi ni kwa nini watu hupenda kutoa takwimu za kubuni bila kuzifanyia uchunguzi...? Kwa mfano mimi nina ushahidi kuwa gavana wa BOT hulipwa USD 25,000 sio Tzs 20m . kwa hiyo natilia mashaka takwimu nyingine kwa kuwa kwa hii niiijuayo ya BOT governor imepunguzwa sana Tzs 20m sidhani kama Tanzania ingeweza kumpata ndulu kutoka WB!!!
Sasa acha u-Kihiyo hapa , kwani USD 25,000/= ni sawa na shilingi ngapi za ki-Tanzania?