kadi za simba na utata

Nani Kuwa Bingwa Uingereza?


  • Total voters
    8

Crashwise

JF-Expert Member
Oct 23, 2007
22,227
8,735
Tangu mwaka 2007 nimelipia kadi kiasi cha (TZS 24,000) lakini mpaka leo sija pata kadi matokeo yake nikatumiwa namba eti kadi itakuwa na namba 1689... halafu viongozi wana lalamika hakuna pesa hivi kama kuna wapenzi wa simba mia tano kama mimi timu itakuwa imikosa kiasi gani kwa miaka 2 maana kama ningepata kadi mwaka 2007 nilipaswa kulipia tena 2008 na 2009 kiasi kisicho pungua 12,000 badala yake kila siku uzushi sasa wana JF naomba namba za simu za Mwina kaduguda au kiongozi yoyote wa juu ni mpandie huko huko juu anieleze kama ndiyo process bado zinafanyika au pesa yangu ilishaliwa nijue maana kama nikupiga simu kufatilia hiyo kadi nimechoka timu...au kama yuko humu anijibu tatizo nini..tz soka itabidi tusubili sana maendeleo maana kuanzia TFF, Simba, Yanga nk Uswahili mtupu juzi TFF wana Tuambia walipata milioni 230 umati wote huo ticket za 3000 ziliisha mapema hata za 5000 au walizificha ili tununue za bei ya juu c%^&*(*&%$&$^..
..............
 
tehe tehe tehe poleni sana watani......hameni huko
kuhama si hami, kwani simba na yanga wana chekana? leo kwetu kesho kwenu....tena usinichefue nitumie namba za simu za kadunguda na hisi huyo ndiyo atanielewa ndiyo msaada ninaotaka.....
 
Karibu Yanga Mtani!
hizo ndiyo namba za simu ya kaduguda amaa...nihamie yanga timu inayo pata sare inakesha ikishingilia je ikishinda si baraaaaaaaaaaaaaaa tu..kwani wewe una kadi au wewe mpiga makelele...bora ni lale maana namba hamnipi mnazidi kunichefua eti Yanga....
 
hizo ndiyo namba za simu ya kaduguda amaa...nihamie yanga timu inayo pata sare inakesha ikishingilia je ikishinda si baraaaaaaaaaaaaaaa tu..kwani wewe una kadi au wewe mpiga makelele...bora ni lale maana namba hamnipi mnazidi kunichefua eti Yanga....

Soka la bongo kazi kweli kweli, hivi unategemea timu ya soka itaendeshwa kwa ada za uanachama?????
 
Hawa dawa yao bakora tu ndio kitaeleweka!
hakuna haja ya bakora ni wa TZ kuwa na uelewa wakati tunachagua viongozi na katiba kuto walinda zaidi viongozi...hawa viongozi walioko wakati wanaingia walituambia mpaka 2009 simba itakuwa kama Zamalek leo hata nafasi ya pili kwa manati kazi kweli kweli.........
 
Back
Top Bottom