Arusha haifikii Mtwara hata punje kwa sasa naona mapinduzi yataanzia kusini kwenda kaskazini hawa jamaa wapo fit zaidi ya G8
Kwa hali ninayoiona Mtwara tayari imeanguka mikononi mwa CDM.
Nape hapo ataponda tu kama kawaida yake!
wamekwenda kuijenga ccm ishinde 2015,cdm haiwezi shinda mtwara wala lindi
ila jamani wajaribu kuandaa kadi nyingi pia bendera,maana watu mikoni tunahitaji sana maana tuko tayari kwa mapinduzi,shida inakuja kila ukihitaji unaambiwa zimeagizwa,duh,makamanda hebu angalieni vizuri mpango mzima,maana tunataka mpaka 015 iwe chadema nyumba kwa nyumba.watanzania tupo tayari kwa mabadiliko.
people'sssssssss;power.
pamoja sana hata huku kwa chenge tunataka mabadiliko.m4c haijapita huko,
Mh! Hawa jamaa (CDM) wako very strategic. Naona wameamua kudili na mikoa ya pembezoni kwanza: Kagera, Mwanza, Mara, Arusha, Kilimanjaro, Kigoma, Sumbawanga, Mbeya, na sasa Mtwara na Lindi. Ukichanganya na ngome za kati ambazo tayari wanazo mkononi - Shinyanga, Manyara, na Iringa tayari wame-cover more than 60% ya voters.
Wanacheza kwanza ukingoni halafu wanamalizia kati - Tabora, Dodoma, Singida, Iringa, Tanga, Njombe, na Mpanda na picha inakuwa imekwisha. Kwa Unguja na Pemba huko sijui; ngome za kidini za Uamsho hizo.

Alishasema hayo ni Magamba yanajivua!
mtwara corridor,,,,,,,ni kaskazin ya msumbiji kama kilimanjaro na arusha zilivyo kusini mwa nairobiWenyewe watasema ni upepo tu utapita, ngoja watuambie kama na huko nako ni kwa wachaga au ni kaskazini sijui ni ukanda.