Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,492
- 92,992
Ulishawahi kusikia chama chochote kina mwenyekiti Mtendaji?MTEI, MTEI, MTEI , MTEI. Huyu mzee anafikiri chama hiki bado ni chake, kila siku matamko ya ukabila tu na udini. Huyu mzee anakimaliza hiki chama jamani , kwetu sisi tunaoishi huku kaskazini minong'ono ni mingi sana juu ya huyu mzee.