Kada wa CCM anashikiliwa na polisi kwa kuwatishia wafuasi wa CHADEMA kwa bastola

Tusisahau vile vile kwamba Dr Slaa alitangaza kule Morogoro kwamba anazo taarifa za uhakika za CCM kuingizaa silaha nchini.

Inaelekea matumizi yake ni kugawia watu kama Bosco watishie au waue Watanzania ili ikibidi CCM itawale kwa mtutu.

Makada wa CCM ni magaidi.
 
imetokea kata ya Bangata, kampeni meneja wa ccm anayefahamika kwa jina la Bosco akiwa na wenzake kutaka kuteka gari ya PA ya CHADEMA,akazidiwa nguvu na umma

Umma haukuweza kumuadhibu kidogo kabla ya kumkabidhi kwa dola??
 
Kutoka Arusha jeshi la polisi lina mshikilia mfuasi wa CCM kwa kutaka kuwateka wafuasi wa CHADEMA walio kuwa kwenye harakati za maandalizi ya mikitano ya udiwani.

Mtoa taarifa ameeleza ya kwamba wafuasi wa CHADEMA walikuwa kwenye harakati za kuandaa mikutano ya kugombea udiwani ghafla alitokea mfuasi wa ccm aliye kuwa amebeba bastola na kuwambia waache kuendelea na shughuli zao, baada ya purukushani kwa kuwa vijana wa cdm walikuwa wengi waliweza kumdhibiti na kumweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi wamchukue!

Kwa ufatiliaji ili onekana kuwa ulikuwa imepangwa kuharibu mikutano ya CHADEMA.

Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.

Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.

Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!

Source: clouds fm (zilizo tufikia)
Du! Siamini. Vigeugeu wa kumwaga
 
What has not happened to you?
 
Umepatwa na nin leo??
 
  • Thanks
Reactions: Pep
Hana kesi Huyo, rejea makada ya ccm a.k.a mungiki ya lipumba yalivyopiga watu, kisi ipo wapi

JPM Baki
 
Na inavyo onekana ilitumwa kabis.
Sijui ule msemo wa sisiemu chama sikivu ndio maana yake!

Hawa jamaa ni hatari na inaonesha wako tayari kumwaga damu ili mradi wasitoke madarakani.

marejesho said:
Mfa maji daima haachi kutapatapa!!Huyo jamaa hakupewa kibano?
figganigga said:
kama kakamatwa nampa pole sababu hata walio mtuma watamkana. vijana tuepuke kutumika kisiasa kwa manufaa ya wachache hasa wanamtandao.. mia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ruttashobolwa why uliondoka huko magwandazi?

Haya mambo ya kufukua makaburi siyo mazuri
Niliondoka baada ya Lema akiongozwa na Tundu Lissu na baadhi ya wanachadema kuanza kumsakama Zitto kisa aliutaka uenyekiti na Urais na kisa hakuwa mchagga na mkristo na hakuwa ana toka kaskazini mwa tanzania....hebu jiulize mbona Lowasa ametangaza kuutaka Urais tena mbona hajasemwa...toka hapo niliichukia chadema kwa moyo wangu wote na sikuwai kujuta kutengana nao....
 
Kutoka Arusha jeshi la polisi lina mshikilia mfuasi wa CCM kwa kutaka kuwateka wafuasi wa CHADEMA walio kuwa kwenye harakati za maandalizi ya mikitano ya udiwani.

Mtoa taarifa ameeleza ya kwamba wafuasi wa CHADEMA walikuwa kwenye harakati za kuandaa mikutano ya kugombea udiwani ghafla alitokea mfuasi wa ccm aliye kuwa amebeba bastola na kuwambia waache kuendelea na shughuli zao, baada ya purukushani kwa kuwa vijana wa cdm walikuwa wengi waliweza kumdhibiti na kumweka chini ya ulinzi na kuwaita polisi wamchukue!

Kwa ufatiliaji ili onekana kuwa ulikuwa imepangwa kuharibu mikutano ya CHADEMA.

Ninacho jiuliza ni kwamba kwa nini siasa zina tupeleka huku, leo kutishiana silaha imekuwa kawaida hasa wafuasi wa ccm na viongozi wao wame kuwa mstari wa mbele kutishia watu kwa silaha na wamekuwa wanaangaliwa yamkini wako juu ya sheria.

Ni vyema CCM waka jua hii nchi siyo ya kwao ni yetu sote na safari yao wame iandaa wenyewe.

Na kamwe CCM hamtozuia mabadiliko kwani ni wakati wake!

Source: clouds fm (zilizo tufikia)
Hahahaha kuendesha harakati huku msingi wake mkuu ukiwa ni njaa ya tumbo lazima utasalenda tu na kuungana nao.....poor u mkatwa mkia
 
Back
Top Bottom