AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,078
Mnh, AD sijui ulinisoma tangia post yangu ya mwanzo?
hii hapa;
...kwenye maandiko kuna mengi yanayoweza zua maswali kuliko majibu,
mfano hilo la mke kumsujudia mume, kumtii mume...nk...
No wonder Lizzy nawewe pia mligusia huenda waliopokea hayo maamrisho
walikuwa wanaishi kwenye mfumo dume zaidi, kiasi cha kutafsiri hayo.
Pia, niligusia, maandiko yamo kwenye mfumo wa present continuous tense,...
maandiko mengine tunashurutishwa vizazi na vizazi mwiko kubadilisha hata neno moja.
No wonder kwa madhehebu yangu, Mwanamke Marufuku kuongoza ibada ya wanaume.
Kimtizamo wangu, women rights movements zilianza miaka ya 1920...
hii ya Beijing 'empowerments' ni juzi juzi tu,..ilhali vitabu vya dini navyo vyatuambia 'ati'
women empowerments ndio dalili za kiama. Sijui umenielewa kidogo?
Mbu i do agree na mengi ya ulio sema.... interest yangu ilikua piqued na
ile ya kusema tunaelekea kubaya... source Post # 51 ambapo nimenukuu hii
..mmetoka mbali na huko mnakoelekea kama siko?!
Which in some way nakubali... ila tu nilitaka nijue unaposema tunaelekea pabaya
ni sawa na mimi ninavyo elewa... karibu mengi umeongea ni kweli thus the No
Comment....