Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

Akijitangaza hadharan ye ni chakula tena kitamu na kinacholiwa naacha kutumia mitandao yake
 
ila mm warren buffet naona kama adanganya umati, ww mtu una networth ya 70 billion usd hlf uishi nyumba ya 30,000USD kama c uongo na kudanganya uma ni nini, labda kama hela zake zina mashart ya kichawi..lkn let us be honest sasa ina maana gani mtu uwe na pesa nyingi na miradi mingi inayokuingizia hela kila cku hlf still unajibana, bora utoe mali zako zote kwa charity ubaki na pesa ya kawaida au uwe maskini ujue moja,,
 
Angekuwa black (hasa Mtanzania) tungesema kapewa masharti na mganga ili aendelee kutusua. Ila kwa vile ni whiteman,acha wasifie style yako.

Napita tu.
 
ila mm warren buffet naona kama adanganya umati, ww mtu una networth ya 70 billion usd hlf uishi nyumba ya 30,000USD kama c uongo na kudanganya uma ni nini, labda kama hela zake zina mashart ya kichawi..lkn let us be honest sasa ina maana gani mtu uwe na pesa nyingi na miradi mingi inayokuingizia hela kila cku hlf still unajibana, bora utoe mali zako zote kwa charity ubaki na pesa ya kawaida au uwe maskini ujue moja,,
Kwani hata ukiwa na nyumba ya USD 100M unalala vyumba vingapi?
 
ila mm warren buffet naona kama adanganya umati, ww mtu una networth ya 70 billion usd hlf uishi nyumba ya 30,000USD kama c uongo na kudanganya uma ni nini, labda kama hela zake zina mashart ya kichawi..lkn let us be honest sasa ina maana gani mtu uwe na pesa nyingi na miradi mingi inayokuingizia hela kila cku hlf still unajibana, bora utoe mali zako zote kwa charity ubaki na pesa ya kawaida au uwe maskini ujue moja,,
Yani kuna watu hela haiwazuzui. Na maisha ya kifahari hayawavutii hata kama wanayaweza. Ni lifestyle tu ya mtu.
 
Sema jamaa mimi napenda sana his life although he is copying Bill gates ways of getting rich ila he his far more better than bills

He is not copying. They are friends who share a lot in common.

FYI, Warren was the first to have a real cash when Bill was struggling to make his Microsoft's empire standing.
 
ila mm warren buffet naona kama adanganya umati, ww mtu una networth ya 70 billion usd hlf uishi nyumba ya 30,000USD kama c uongo na kudanganya uma ni nini, labda kama hela zake zina mashart ya kichawi..lkn let us be honest sasa ina maana gani mtu uwe na pesa nyingi na miradi mingi inayokuingizia hela kila cku hlf still unajibana, bora utoe mali zako zote kwa charity ubaki na pesa ya kawaida au uwe maskini ujue moja,,

Kuna wengine wana utajiri wa ajali, wana upata nje ya matarajio yao.

Hata hivyo kuwa na hela haimaanishi ufanye maisha yako yawe complicated.

You can make it simple but classic.

Kuna wanaokuwa matajiri ila sehemu kubwa ya fedha zao wanafanya donation.

Usikariri sana kwamba ukiwa tajiri basi unabadili maisha yako.

Do what makes you comfortable.
 
Huyu mark mzembe tu mtu Ana pesa anashindwa nn kuajili mafashonista Hata wawili yy akutage nguo ziko tayar..
Mganga wake ndo namwambia avaage hivyo

Mkuu Usidhani Unavyosuguaga Makalio Yako Barabarani Njia Panda Ya Tazara Ili Upate Mafanikio Basi Ni Kila Mtu. Walichotushindia Wazungu Ni Only CREATIVITY Tu Na Kujua Unataka Nini Maishani Halafu Kukazana Ili Ufanikiwe Kwa Kujituma Sana. Ila Hata Hivyo Kama Wazungu Nao Ni Washirikina Basi Hata Mimi Nitahitaji Hizo Ndumba Zao Kuliko Hizi Zetu Za Kutoana Tu MISHIPA Na Kulazana Juu Ya DARI Kila Kukicha Utadhani Popo.
 
Back
Top Bottom