Huyu ndiyo Mwanaume anaevaa nguo za kike, ana Mke na watoto pia

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
images (3).jpeg

Huyu unayemuona hapo juu sio mwanamke, bali ni baba wa familia yenye watoto wanne ameamua kubadili muonekano wake ili kukwepa asiuliwe wakati wa vita.

Jina lake ni MINANI SAMUEL maarufu kwa jina la BABY kwa zaidi ya miaka 26 ameamua kuishi kama mwanamke anavaa nguo za kike, anasuka kama mwanamke na pia anavaa mapambo ya kike endapo ukikutana naye kwa mara ya kwanza itakuwia vigumu kugundua kuwa huyu ni mwanaume.

Miaka 25 iliyopita nchini Burundi zilitokea vita za wenyewe kwa wenyewe na wanaume ndio waliokuwa waathirika wakubwa, Wauaji walikuwa wakifanya msako kila nyumba na kuuwa mwanaume yeyote yanayemkuta,

Siku moja bwana MINANI alisikia sauti ya Mungu ikimueleza kuwa avae kama mwanamke ili asiuawe alipoitii sauti hiyo ghafla walivamiwa na wauaji walifanya msako katika nyumba yao bila ya mafanikio kwani wote waliowakuta waliamini kuwa ni wanawake.

Tangu siku hiyo MINANI hakuwahi kuvaa kabisa nguo za kiume kabati lake limejaa nguo za kike tu, Licha ya kuwa ni baba wa familia lakini hajaacha kuvaa nguo za kike.
 
Wtf.....!!!But SHE's a real beauty...If SHE's not into it,let her get engaged,tied the knot,sleep naked with her husbando...pop a baby and deliver the whole package....🤐😎🤐😎🤐

Mungu akuoteshe uvae na wewe ukuwe mwanamke🚮
 
Sasa na hao wajomba waliokuwa wanaua kila Nyumba, si wamesoma hii habari, hawawezi kurudi kweli
 
Huo ni ujinga,hakuna cha sauti ya Mungu hapo.hiyo ni stori tu kama zingine.yaani Mungu aangaike kumshauri avae nguo za kike alafu ashindwe kuwafanya hao wauaji wasimuue ata kama akiwa amevaa nguo za kiume.Huyu Mungu tunamsingizia ujinga mwingi sana.
 
Kumbukumbu la Torati 22

5 Mwanamke asivae mavazi yampasayo mwanamume, wala mwanamume asivae mavazi ya mwanamke; kwa maana kila afanyaye mambo hayo ni machukizo kwa Bwana, Mungu wako.
Vazi la kike ni sidiria tu, kanzu inaweza kuvaliwa na myu yeyote yule, zamani kabisa wanaume na wanawake walivaa nguo aina moja, mafundi cherehani ndio walianzisha mishono tofauti na wavaaji wakaivaa kwa kutofautishana kwa uono wao.
 
Huyu unayemuona hapo juu sio mwanamke, bali ni baba wa familia yenye watoto wanne ameamua kubadili muonekano wake ili kukwepa asiuliwe wakati wa vita.

Jina lake ni MINANI SAMUEL maarufu kwa jina la BABY kwa zaidi ya miaka 26 ameamua kuishi kama mwanamke anavaa nguo za kike, anasuka kama mwanamke na pia anavaa mapambo ya kike endapo ukikutana naye kwa mara ya kwanza itakuwia vigumu kugundua kuwa huyu ni mwanaume.

Miaka 25 iliyopita nchini Burundi zilitokea vita za wenyewe kwa wenyewe na wanaume ndio waliokuwa waathirika wakubwa, Wauaji walikuwa wakifanya msako kila nyumba na kuuwa mwanaume yeyote yanayemkuta,

Siku moja bwana MINANI alisikia sauti ya Mungu ikimueleza kuwa avae kama mwanamke ili asiuawe alipoitii sauti hiyo ghafla walivamiwa na wauaji walifanya msako katika nyumba yao bila ya mafanikio kwani wote waliowakuta waliamini kuwa ni wanawake.

Tangu siku hiyo MINANI hakuwahi kuvaa kabisa nguo za kiume kabati lake limejaa nguo za kike tu, Licha ya kuwa ni baba wa familia lakini hajaacha kuvaa nguo za kike.
C:C Mabusu Mwanachama mwenzako huyu.
 
Kuna kundi kubwa la watu ambao hudhani mawazo yao ni sauti ya Mungu.

So Lunatics
 
Back
Top Bottom