Kabati la nguo la Mmiliki wa Facebook

na Pengine kamuiga Mr.Warren Buffet.....Huyu mzee lifestyle yake ni ya kipekee sana..

Matajiri wengi wenye pesa ya uhakika maisha yao ni kawaida sana akiwemo Bill Gates mwenyewe!! Sasa ungeoneshwa kabati la nguo la hawa wakwepa kodi wetu ndio ungeshangaa suti zilivyojaa, nyingine hata hawazivai lakini bado wanazivundika!!
 
Hahah
.Tuxedo special order(custom made).Designed by D&G...Made in Luxembourg..Laundry inapelekwa Toronto. .Pasi inapigwa Visiwa vya Madagascar...
 
Yote sawa tu, maisha yanaendelea. Kesho na mimi ntaweka picha ya kabati langu la nguo za aina moja.
 
Matajiri wengi wenye pesa ya uhakika maisha yao ni kawaida sana akiwemo Bill Gates mwenyewe!! Sasa ungeoneshwa kabati la nguo la hawa wakwepa kodi wetu ndio ungeshangaa suti zilivyojaa, nyingine hata hawazivai lakini bado wanazivundika!!
nimechaka hadi machozi. Asante mkuu
 
Nimependa life style yake kweli nguo zinapoteza muda mnooo
Hata mie napendaga kukaa sehemu nafanyia kazi sababu ya tabu ya usafiri na foleni kusinzia kwenye daladala sipendi ila ukipata kazi posta kodi in dollar
 
Huyu mark mzembe tu mtu Ana pesa anashindwa nn kuajili mafashonista Hata wawili yy akutage nguo ziko tayar..
Mganga wake ndo namwambia avaage hivyo
 
Ww jamaa ni mvivu kusoma!! Uzembe wake upo wapi??
 
Back
Top Bottom