Kaazi kweli kweli

hahahahahaha lol umenifanya ni cheke lol..
usifanye kazi ninayoifanya sasa hahahaha lol
"unaijua" hutakula mwezi lol

Hahahaha ile nadhani naweza nikapiga moyo konde. Hii ya Ewwww naigopa na kuiogopa, yani hua naona kama vile sio safe.
 
Hahahaha sio wanapanga bana ila wanakua wamesababisha wenyewe bila kufikiria madhara yanayoweza kujitokeza huko mbeleni. Hiyo bold mimi kama mimi, bila kujali jamii inayonizunguka nachukulia mtu anaetoka nje ya mahusiano yake kua hamheshimu mwenzi wake. Kwasababu kucheat kunamzalilisha mwenzi huko nje kwa hao/huyo anaecheat nae pamoja na wale wanaojua kinachoendelea wakati yeye hajui.

Embu niambie wanaocheat ilhali hawakupanga ndio wanakuaje? Wamelewa au wameleweshwa?

hapo bold....sawa tunakubaliana

hapo pengine, ni kama umeshajua 'kutabiri' maana ukifikiria zaidi utapata sababu lukuki zaidi ya 'kulewa'
 
hapo bold....sawa tunakubaliana

hapo pengine, ni kama umeshajua 'kutabiri' maana ukifikiria zaidi utapata sababu lukuki zaidi ya 'kulewa'
Binafsi ningekua najua hizo sababu nisingeuliza, kama hujali naomba unifumbue macho walau kidogo.
 
Back
Top Bottom