Kaazi kweli kweli

sikubaliani na hili hata kidogo
mtu mnayekutana naye mkiwa na meno 32 habadili unachokiamini.

Mwanamke wa aina huyo anakuwa cheater toka huko alikotoka. Hapo anakuwa kapata stimulus tu hamna lolote

Wanaume ndio wamefanya wanawake wabadilike,wamechoka kulia kila siku peke yao ndani huku Mume anarudi asubuhi nayeye kwa vile ni binadamu anahitaji faraja.
 
Halafu kuna wale watu ambao wanapenda kuwa confront wale wanaocheat na wenza wao.

Sasa kwa mfano, mimi nina mke halafu huyo mke wangu anacheat na lijamaa. Mimi ninafahamishwa kuwa mke wangu anacheat halafu eti naenda kuli confront lijamaa.

Why? why? why? Why do people confront their partner's paramours? For what? Because as far as I'm concerned cheating is one of the ultimate disrespects. I am not gonna go confront a person who is cheating with my wife. Never ever.

And here is the reason why. If you cheat on me that means you have disrespected me. So why should I go and fight for someone who has disrespected me? It just ain't worth it. Yaani nitolewe ngeu kwa ajili ya mtu ambaye kanichiti?

Mweh! Kweli akili ni nywele nakila mtu ana zake.

Huo ni ujinga kwa sababu aliyecheat na mke wako sio mwenye jukumu la kuwa mwaminifu kwako. Sema watu hua hawana namna ya kuwaadhibu/ongea na watu wao hivyo wanatafuta pengine pakuondolea hasira. Na wengi wanaofanya hivi ni wale ambao hata wakiambiwa wanaachwa na huyo cheater wataanza kulia wao na kung'ang'ania wasiachwe, ni watu ambao wanaogopa kuachwa na hao wenzi wao hivyo hawawezi kujitoa mhanga na kuwaconfront.
 
kazi sana na huyo dada anaenda kufumania bila mabouncer wa kumlinda
 
Heshima wakati mtu anakukuruka nje ya ndoa?

Tatizo ni kwamba watu wanajaribu kudanganya ulimwengu na kujikuta wanajidanganya wenyewe on the process. Hapo ukimuuliza anaheshimika kwa lipi atakuambia kwa kuolewa, sasa muulize kama huyo anaetembea nae anamheshimu na mumewe au la. Ni ulimbukeni tu
Kuna maneno mengi sana matamu watu wanayatumia kuhalalisha kilichoharamu...yote na yote ni kwamba wanasutwa na nafsi zao ndio mana wanatafuta maneno ya kujipoozea...
 
Unavumilia nini? Haina tofauti na ulivyosema huwezi kutolewa ngeu kwaajili ya mtu asiyekuheshimu. Kuvumilia ni aina nyingine ya ngeu.

Hmmm basi wewe utakuwa uko tofauti na 'mademu' wengi wa JF! Hapo kwenye 'mademu' Lizzy atanifinya lol.
 
@Nyani Ngabu
kama nilivyosema awali
kila mtu ana definition yake na priority zake katika ndoa kulingana na makuzi.

Mfano: kama nimekua katika familia ya baba mwenye wake wengi na bado anapiga mechi za nje na watoto tunafahamu, nikija kuolewa na mwenza akacheat, nitakasirika lakini haitanifanya niondoke sababu kwenye maisha indirectly nalikubali hilo kutokana na nilivyolelewa.

Kwa hiyo huwezi kusema akicheat mara 1, 2, 10 ndo anamwacha, inategemea katika vipaumbele vya ndoa cheating kwako ni dhambi kiasi gani.

I guess you are right about that. To some getting cheated on is not an issue at all. And that's the beauty of life. We are all different in all sorts of different ways.
 
sio kuvumilia
lakini kuna vitu vingine unaweza ishi navyo
havikunyimi usingizi

wanawake wengine wanawaacha waume zao sababu hawasapoti familia kifedha, wengine wanawabeba ivoivo
je ukioa mwanamke ambaye hazai utamwacha?
Wapo wengine wanawaache wenzi wao sababu tu hawazai wengine hawaachi
inategemea na wewe kwenye definition yako ya ndoa hilo kosa unalipa kipaumbele gani

Kwa hiyo mwenza akiwa cheater cha muhimu na busara kufanya ni kuvumilia?
 
Kuna maneno mengi sana matamu watu wanayatumia kuhalalisha kilichoharamu...yote na yote ni kwamba wanasutwa na nafsi zao ndio mana wanatafuta maneno ya kujipoozea...

Hahahaha na hayo maneno matamu wanayatumia vizuri kweli. Utasikia tunapunguza tension nyumbani, mara inafanya nimpende mume/mke wangu zaidi. . . alimradi tu wajidanganye angalau sekunde kwamba wanachofanya kina manufaa mpaka kwa wenzi wao.
 
mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki . saa nyingine
ndoa hazina faida kwakweli..
 
sio kuvumilia
lakini kuna vitu vingine unaweza ishi navyo
havikunyimi usingizi

wanawake wengine wanawaacha waume zao sababu hawasapoti familia kifedha, wengine wanawabeba ivoivo
je ukioa mwanamke ambaye hazai utamwacha?
Wapo wengine wanawaache wenzi wao sababu tu hawazai wengine hawaachi
inategemea na wewe kwenye definition yako ya ndoa hilo kosa unalipa kipaumbele gani

Huwezi linganisha ukosefu wa kuzaa na kucheat.
Wengi hawapangi kushindwa kuzaa wakati cheaters wote wanapanga kucheat. Kutokuzaa hakumshushii mwenzi heshima , kucheat kunaondoa kabisa.
 
sio kuvumilia
lakini kuna vitu vingine unaweza ishi navyo
havikunyimi usingizi

Sasa si ndo kuvumilia kwenyewe huko au?

wanawake wengine wanawaacha waume zao sababu hawasapoti familia kifedha, wengine wanawabeba ivoivo
je ukioa mwanamke ambaye hazai utamwacha?

Infertility is not a deal breaker for me because it is not of her doing. But on the other hand cheating is. For the umpteenth time, cheating is a premeditated act with serious repercussions.

Wapo wengine wanawaache wenzi wao sababu tu hawazai wengine hawaachi
inategemea na wewe kwenye definition yako ya ndoa hilo kosa unalipa kipaumbele gani

Hapo wala sina ubishi. To each his/her own.
 
mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki .
Aluu lugha zingine we wacha tu, hapo unaweza kudhani kitu kipo ndani, na demu kakin'gan'gania.
 
mi hiyo ya kumpiga mwanamke ndo kitu ambacho kinaniingia sana..

maisha bana halafu utaona huyo mwanake haondoki . saa nyingine
ndoa hazina faida kwakweli..

AD, would stay with desh desh if he were to beat you up routinely?
 
kwa uzoefu wangu wa mambo haya wengi wanaosema wakichitiwa wanasepa ndio ving'ang'anizi haswa tena hawathubutu kuachana, utamuuliza vipi si ulisema huwezi utasikia we acha tu.....
 
Halafu kuna wale watu ambao wanapenda kuwa confront wale wanaocheat na wenza wao.

Sasa kwa mfano, mimi nina mke halafu huyo mke wangu anacheat na lijamaa. Mimi ninafahamishwa kuwa mke wangu anacheat halafu eti naenda kuli confront lijamaa.

Why? why? why? Why do people confront their partner's paramours? For what? Because as far as I'm concerned cheating is one of the ultimate disrespects. I am not gonna go confront a person who is cheating with my wife. Never ever.

And here is the reason why. If you cheat on me that means you have disrespected me. So why should I go and fight for someone who has disrespected me? It just ain't worth it. Yaani nitolewe ngeu kwa ajili ya mtu ambaye kanichiti?

Mweh! Kweli akili ni nywele nakila mtu ana zake.

Halafu hii wanawake wanaipenda kweli sijui kwa nini,unasikia fulani ananiibia mume wangu,hapo mume anaachwa vita inakuwa kati ya mke na huyo anayechit na mume.
 
Ujue ni makuzi ndo yanaaffect
kule bara hakuna mambo ya kipwani(hope unanipata) iwe na mwanamke au mwanamme mwingine.

nikigundua mweza anashiriki mambo hayo in any form sisubiri talaka, ni kuondoka bila kufikiri mara mbili. No disikasheni at all.

Lakini wengine naona wako fine tu haiwakeri
kihivyo
I guess you are right about that. To some getting cheated on is not an issue at all. And that's the beauty of life. We are all different in all sorts of different ways.
 
kwa uzoefu wangu wa mambo haya wengi wanaosema wakichitiwa wanasepa ndio ving'ang'anizi haswa tena hawathubutu kuachana, utamuuliza vipi si ulisema huwezi utasikia we acha tu.....

Teh teh teh....nice observation. There is some anecdotal truth to what you say.
 
Back
Top Bottom