Kaambiwa labda wahamie mabwepande

Anold

JF-Expert Member
Jul 15, 2010
1,456
614
Rafiki yangu ambaye anatarajia kufunga ndoa mwanzoni mwa mwezi wa Tano, baada ya kumtaka mapenzi mpenzi wake kabla ya kufunga ndoa, mpenzi huyo amemkatalia katakata kwa kile alichodai kuwa anaweza akapata ujauzito kabla ya kufunga ndoa hivyo kama vipi wahamie MABWEPANDE, sasa nilichoulizwa mimi na huyu best wangu ni kuwa huko Mabwepande kunauhusiano gani na swala zima na mahusiano? Mimi nahisi huyo binti anataka nini ila nikaona kabla sijamjibu niwaulize wana JF Hiyo mabwepande inakujaje hapo?
 
Connecting.....11% done

Connection interrupted. Terminate!
 
Kwa nnavyoelewa mimi hilo ni lile eneo walilipewa waliopote zamakazi yao kwenye yale mafuriko ya Dec na bado hamna nyumba hivyo binti anajua hakutakua na mwanya wa kufanya mapenzi. Na wasipofanya mapenzi hatopata mimba.
 
watakuwa wanakaa jangwani so mchumba anataka waende kabisa makao mapya mabwepande ndo kieleweke
 
Jamani mara jicho, mara mabwepande, mara tigo, mara kiboga mara igwe, mara ...! Mtakufa kwa dhambi ninyi *some text missing*
 
changanya na za kwako mabwepande wamelekwa walio kuwa mabondeni wakapatwa na mafuriko na yeye anasema tatizo sio mafuriko ni yeye hataki mimba , na mafuriko yakija yanakuja na matope
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom