Ka mchapo.......

hahahahahaaa wala hata nilikuwa simkodolei bhana, alshabab wale kwani mi napenda kulipuliwa!

Dah jana nilimuona mbabu mmoja kutoka huko tandahimba kwenu analalamika hakuna maji anapiga dash ya kuoga mpaka wiki

ya tandahimba we tuachiage wenyewe tu, tena me naona habari za maji siku hizi nafuu kwani tunapataga kamgao ka mvua from sir god! Korosho tumekopesha toka mwezi wa oct.2011. Mpaka leo tunapigwa sound tu, yale yale ya kuku na vifaranga mtanyonya kesho!
 
...siku hizi si unajua tunaenda sawa...if you do me i do you style...haha!.so mtoto kakufia labda tangu mkutano umeanza...na hakuona hiana kukuingia kiivyo...wanajua kutongoza hawa siku hizi!

Bagah umeona eeh? mwambie wewe labda atakuelewa!
 
ya tandahimba we tuachiage wenyewe tu, tena me naona habari za maji siku hizi nafuu kwani tunapataga kamgao ka mvua from sir god! Korosho tumekopesha toka mwezi wa oct.2011. Mpaka leo tunapigwa sound tu, yale yale ya kuku na vifaranga mtanyonya kesho!
Mko nchi gani kwani nyie?
 
jioni yake tulitoka dinner ila tulikuwa kama 8 hivi then tulipotoka nikawaacha club mi nikaenda zangu hotelini kulala coz nilikuwa nimechoka. Well ila tumechat kidogo coz asubuhi yake mi nilirudi kazini kwangu mkoa mwingine so kimsingi we never met but it was a begging kwa sisi kukutana kiukweli

kwani namba zake umefuta hata msikutane tena? Andaa mazingira mkuu ya ku-meet nae au bado unaogopa maguruneti?
 
kwani namba zake umefuta hata msikutane tena? Andaa mazingira mkuu ya ku-meet nae au bado unaogopa maguruneti?
Naenda mdogo mdogo mkuu huku nikiendelea na mazoezi ya kukwepa maguruneti hayo
 
ngoja niicheck kwenye atlas maana hata jina limentoka ila wanasema ukiitazama ramani yake utaona milima na mabonde mengi ya kupendeza!
Nami nakumbuka hako ka wimbo nilikaimba sana nilipokuwa shule ya msingi ila sikumbuki tulikuwa tunaimba kuhusu ka nchi kapi? Sijui Nepal maana imezungukwa na vi milima vingi kama vi Everest
 
Kongosho, somebody got a crush on you!

he!kwani kong ndio huyo al shabab!!???........au kong na amyner -----(sijagombania demu long tym aisee,nataka sana kumuumiza mtu hapa..lol!)..nah,mi nimeunga mkono tu hoja ya amyner,nawapenda wakiwa hivi kiukweli.hata akiwa amyner na akafunguka hapa sio ishu kaka!
 
No mi nilikuwa nampa taarifa tu Kongosho kwamba kuna mtu amemdondokea
 
Kha basi hujamsoma vizuri, ka krashi kwa Amyner huyu ila anazunguruka zunguruka

amyner unamsikia huyu musimo!?eti anausemea moyo wangu kwako kuwa eti MIMI NIMEKUDONDOKEA NA KUVUTIWA BIN KUKUPENDAGA!!?mi hata sijasema hivo mama!.....lol..(kumbe ni kazi ngumu eenh!)
 
amyner unamsikia huyu musimo!?eti anausemea moyo wangu kwako kuwa eti MIMI NIMEKUDONDOKEA NA KUVUTIWA BIN KUKUPENDAGA!!?mi hata sijasema hivo mama!.....lol..(kumbe ni kazi ngumu eenh!)
Teh Teh Teh we hujui kama waarabu wa Pemba wanajuana kwa kula halua?!
 
Back
Top Bottom