JWTZ proffessionals vipi?

georgei

Senior Member
Oct 14, 2009
110
8
Mimi ni Engineer by profession, nimekaa muda mrefu na kwa hamu kubwa ya kujiunga JWTZ lakini nakosa habari rasmi ni lini wataita watu wenye profession mbali mbali kujiunga/kujiandikisha. Kama kuna yeyote mwenye habari tafadhali naomba unijuze.
 
kuwa professional tu ndo wakuchukue?mbona huangalii vigezo vingene vya umri na afya? nijuavyo mie umri nao lazima uwe kigezo muhimu kaka
 
Kweli watu wameamua, yaani topic ya jwtz daily haikomi, au kuna kitu nini jeshini hebu tuambizane jamani. Ila kuwa na subira tu bro lazima watatoa, while waiting for that nakushauri endelea na michakato mingine, wanaweza wakatoa then ukakosa vigezo vingine kama afya na umri
 
Kweli kabisa kijana wng
 
ndo mpango mzima huo kijana mateso baada ya hapo bataaaaaaaaaaa
 
kaka jishughulishe na dili nyingine, jwtz siku hizi ni kimya kmya wala hutakaa usikie, watu tulisubri tukachoka, now tunapiga maishu mengine, tumepotezea kabisa hizo ishu za offisa kadets!
 
kaka jishughulishe na dili nyingine, jwtz siku hizi ni kimya kmya wala hutakaa usikie, watu tulisubri tukachoka, now tunapiga maishu mengine, tumepotezea kabisa hizo ishu za offisa kadets!

Naungana na wewe jamaa yangu, taarifa iliyopo ni kwamba tayari jamaa washachukua kwa kupitia JKT na kitu ilipigwa kimya kimya kupitia Makao Makuu ya JKT. Tuvute subira tuone itakuwaje!
 
Dah mkuu pole sana,mim nina jamaa zangu wawili waliunganishiwa kimya kimya,wameanzia jkt,wana mwezi sasa..mmoja yupo kigoma na mwingne jkt iringa..hii ni tanzania
 
Nakushauri achana na maneno ya kuunganishwa kimyakimya kama baadhi ya watu walivyochangia. Eti kimya kimya alafu wametokea JKT sasa hapo kimyakimya kiko wapi? Tuanche kuendekeza uongo na kupenda sifa za kijinga eti hii ni Tanzania je ukiwa UGANDA kila kona mtoto wa KIGOGO mngesemaje tena?

Cha kufanya ni write in process. Andika barua makao makuu ya jeshi eleza uwezo wako, ni engineer wa kitu gani mfano chemical engineer, civil engineer au medical engineer. usisubiri waite apply kadiri uwezavyo. Ikishindikana cheki na ubalozi wa Canada wanauhitaji mkubwa wa human resource kule kwao hasa Jeshini.

Nakutakia kila la kheri
 
nimechoshwa na tabia ya watu kulalamika wakikosa alafu watu haohao wakipata wanasahau walikotoka mfano siamini kama jeshi ni kitu cha kukosa kama mtu unavigezo
 
Mwaka huu wameshachukua na kwa ambao sio proffesional nafasi zilikua kibao na had walifanyiwa usaili na proffesionals waliitwa direct ilikua tarehe 13july wakatakiwa tarehe 15july wawe washawasili kwenye kambi zao za jkt. Jaribu kufuatilia mwakani tena uone
 
Wanaogopa kuchukua graduates wengi maana nchi zingine graduates wamekuwa chachu ya kiburi jeshini na hata kupindua serikali. Kama vipi soma ramani zingine maana hata wkitoa ili uingie lazima uwe na mtu atakaye kurefer ili kuondoa wasiwasi wa kuingiza jeshini magidi, ni kwa ajiri ya usalama zaidi. Ngumu kumeza ila ndiyo hivyo
 
Nakushauri achana na maneno ya kuunganishwa kimyakimya kama baadhi ya watu walivyochangia. Eti kimya kimya alafu wametokea JKT sasa hapo kimyakimya kiko wapi? Tuanche kuendekeza uongo na kupenda sifa za kijinga eti hii ni Tanzania je ukiwa UGANDA kila kona mtoto wa KIGOGO mngesemaje tena?

Cha kufanya ni write in process. Andika barua makao makuu ya jeshi eleza uwezo wako, ni engineer wa kitu gani mfano chemical engineer, civil engineer au medical engineer. usisubiri waite apply kadiri uwezavyo. Ikishindikana cheki na ubalozi wa Canada wanauhitaji mkubwa wa human resource kule kwao hasa Jeshini.

Nakutakia kila la kheri

Mkuu hii strategy inakubalika?
 
Wakuuu hii kazi ya jwtz ni ishu wala haisomeki kama zaman nasikia watu walishapeleka application form makao makuu ya jeshi lakin hilikuwa kimya kimya hata me nilipata info to late but nikajaribu kuuliza kwa wakuu wa vitengo wkasema wanampango wakuchukua lakin kupitia jkt but nafasi zitakazo baki ndio watachukua direct kwaiyo kama huna mtu jaribu kufollow up jaribu kuwa mdadadisi kidogo kwa wakuu wenyewe siokitu cha ajabu kuona hata makanali wenyewew walio wizaran hawajui chochote ndio kwanza nilikuwa nampa info hakanipromise hata followup so mpaka sasa bado hakusomeki kabisa kama hunaishu we piga tu
 
Kzi ipo! mimi nilituma barua ngomeni siku nyingi kweli, nilifatilia ikafika mda wakaniambia watatutaarifa kwa njia ya posta, ni masikitiko yangu kuwa jana jamaa yangu mmoja ananiambia jemba imechukua watu kimya kimya! Hili jeshi ni private institute au public?
 
Back
Top Bottom