JWTZ na Jeshi la China wakiwa katika mafunzo ya kijeshi, Kigamboni Dar es salaam

JWTZ ni jeshi lenye nidhamu na linajua wajibu wake, sheria na wapi pa kuelekeza nguvu na kiasi cha kufanya hivyo pindi itapohitajika!!!!!

Kuhusisha shughuli za kijeshi za kawaida na jambo hili unaloongelea sio tu ni kulikosea heshima ila pia ni dalili ya mawazo hasi juu ya Jeshi!!!

Labda kama unachokiwaza sio unachoandika!!!

Usijidanganye mkuu. Kama polisi na FFU wakishindwa kuzima ghasia za siasa, jeshi litaitwa. Sisi hatuko nchi zilizokamaa kidemokrasia ambazo unaweza kusema watawala wetu hawatavuka mipaka ya kutumia jeshi kuzima ghasia.
 
Nina shaka na unachokisema, wanakijiji wanapata kichapo bila ushahidi.

Last edited by a moderator:
Usijidanganye mkuu. Kama polisi na FFU wakishindwa kuzima ghasia za siasa, jeshi litaitwa. Sisi hatuko nchi zilizokamaa kidemokrasia ambazo unaweza kusema watawala wetu hawatavuka mipaka ya kutumia jeshi kuzima ghasia.
Fafanua "ghasia za siasa" kwanza!!!
 
punguza jazba basi maanake unatokwa povu tu...wapi nimesema jeshi la ardhini halitakiwi?? haya basi nimekubali karate nimekubali karate ndio mpango mzima.

Umedhamiria au unataka uonekane mjuaji hapa JF? km ni hivyo basi akili zako hazina tofauti na mende
 
Eti bana hata mi nimeshangaa,eti wachina badala wangewaleta wamarekani.
hawa watakua wamekuja kuiba mapembe ya tembo wetu na ile gase.

walishakuja wamarekani na wapo wanatupatia ujuzi kwa wanajeshi na vyombo vingine vya ulinzi na usalama...labda tu hujafanikiwa kupata taarifa..
 
sometimes teknolojia haikusaidii chochote mfano mmepata ajali na ndege yenu ya kivita na mmeangukia karibu na maadui wawili ( au mmoja) vp hapo na kwa taarifa yako wanatoa mafunzo ya kila aina ya kurusha ndege hadi ya KURUSHA MELI

Hii kali sasa hiyo meli inarushwaje mkuu?
 
Traditional means of fighting; unafundishwa kupiga mangumi ni nani siku hizi anamsogelea adui? Techno ndy inafanya kazi dunia ya leo siyo kuvunjiwa mpini wa jembe mgongoni.
 
Traditional means of fighting; unafundishwa kupiga mangumi ni nani siku hizi anamsogelea adui? Techno ndy inafanya kazi dunia ya leo siyo kuvunjiwa mpini wa jembe mgongoni.

Kuna vita hushuka hadi door to door, mandege ya drone hayawezi hiyo, inabidi ngumi zitumike na ole wako ukutane na bonge la Mwarabu kule jangwani afu wewe umezoea video games.
 
Halafu wengine ndio wanaenda kushika makalio ya mke wa komandoo. Huko si kujitakia kifo tu...
 
Back
Top Bottom