OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,525
ohooo, naona leo umeamka na ID yako ya Gentamycine....haya bwana
Huyu jamaa yaani angekuwa na uwezo nadhani angeichoma nchi moto!!!!
ohooo, naona leo umeamka na ID yako ya Gentamycine....haya bwana
sasa mtu akija na bunduki hizo karate zitasaidia nini?? tena mtu mwenyewe sniper!! watu siku hizi wanapiga kwa ndege tu tena nyingine hazina hata rubani....manowari inatia nanga huko international waters wanabonyeza button tu huku majengo yanakuwa kifusi....hizo karate mtazifanyia nini???
Yaani baada ya hayo mazoezi alafu inakuwaje? Me nilijua wanakuja kuwafundisha technologia za kurusha ndege zisizo na ruban, sasa ngumi za mikono wap zinatumika duniani......? aha ok ok labda zile za kugombea wanawake bar.....wat a waste of Resources?
Jeshi la China liko mbele kuliko majeshi yote duniani ikiwemo marekani.Jeshi la CHINA ndilo jeshi pekee duniani lenye makombora ya kutungulia satellite zilizoko anga za juu.Vita vya kisasa vinatumia teknolojia inayotegemea satelite kuanzia ndege zisizo na rubani,makombora n.k Sasa mchina ukianzisha vita naye leo wala hakulengi wewe anachofanya anavurumisha kombora anga za juu ziliko satelite zako.Akizitungua mawasiliano yote yanakufa kuanzia ya simu,internet,mawasiliano ya kivita n.k yote yanakufilia mbali anabakia yeye tu na mawasiliano yake na hapo mziki ndio utaanza wa kivita ndio utamjua mchina ni nani.
Marekani wanawaogopa mno toka wajue wana makombora ya kutungua satelite.Ndio maana marekani haongelei kuilaani china kuhusu haki za binadamu,mambo ya vyama vingi na upuuzi mwingine anaotuvalia njuga dunia ya tatu.Kaufyata kimya.ANAOGOPA MCHINA.
Mkuu UMETOKA English Course Hivi Karibuni Nini? Si Mchezo!
...nini hizo!,jeshi la china dhaifu duniani......sasa watu wanapiga toka angani,mwaka 2016 Unaintroduce armed robotic soujer,kunfu za kazi gani kama sio kututisha ili waendelee kutuibia?.Sasa ni zama za space war.
Haya si mafunzo ya vita, haya ni mafunzo ya kuzima ghasia za siasa. Na ndiyo maana yanaonyeshwa kwenye vyombo vya habari ili myaone.
Ghasia za siasa zizimwe na Jeshi la Wananchi?!!!
Tena kwa mafunzo "drill ya mwezi mzima"??!!!
Hebu liheshimu jeshi mkuu
JWTZ ni jeshi lenye nidhamu na linajua wajibu wake, sheria na wapi pa kuelekeza nguvu na kiasi cha kufanya hivyo pindi itapohitajika!!!!!Mkuu ulifuatilia yaliyotokea kule Misri? Uliona jinsi jeshi lao lilivyozima ghasia za siasa?
Imekuwa rahisi sana watu kuandika tu katika kila kilichopostiwa. Wengine tunataka hivi na wengine vile. Tunapofika kwenye masuala ya JWTZ lazima tujue kuwa jeshi letu limejipanga , liko makini na linambinu endelevu kulingana na wakati.. mgawanyo Wa vitengo katika jeshi si rahisi kuuelewa kama tunavyoandika humu na operations za jeshi ni nyingi zikiwemo zile za ushirikiano na majeshi ya mataifa mbali kama china,japan, Germany na us. Nalipongeza jeshi langu. Na nathubutu kusema kuwa. Ningeambiwa ni kazi gani ningestahili kuifanya hata Kwa kujitolea maisha yote ningechagua Jwtz.JWTZ ni jeshi lenye nidhamu na linajua wajibu wake, sheria na wapi pa kuelekeza nguvu na kiasi cha kufanya hivyo pindi itapohitajika!!!!!
Kuhusisha shughuli za kijeshi za kawaida na jambo hili unaloongelea sio tu ni kulikosea heshima ila pia ni dalili ya mawazo hasi juu ya Jeshi!!!
Labda kama unachokiwaza sio unachoandika!!!
wanasiasa hawezi kuwa na mawazo yaliyo nje ya siasa. Hata tufanye nin hatuwezi kuwazuia watu kuwaza. Jeshi lipoteze muda vijimambo vya vurugu za maandamano ya mtaani tu. Hili sidhani kama ni sawa. Kazi ya jeshi kusimamia ulinzi na usalama Wa nchi katika kila jambo linalohusu amani ndani katika mipakaHaya si mafunzo ya vita, haya ni mafunzo ya kuzima ghasia za siasa. Na ndiyo maana yanaonyeshwa kwenye vyombo vya habari ili myaone.
jamaa wa KDF wamepita hapa? kuna jamaa katuliza ncha ya upinde kwa koo duh heheeh! :llama: lawmaina78, waltham