Juventus Special Thread

Daaaaah naona tumepewa bayern. Wasiwasi wangu upo kwenye ukuta pale nyuma. Chielini naona anakaba sana kwa macho siku hizi. Sehemu ya kumfata mtu man to man anakaba kwa kuangalia. Ila bora kuliko kukutana na balaa la MSN mapema.
 
FT: Bianconeri 3-1 Wadada wa Viola

Juve is backkkkkkkkkkkk!!!!! Darling nilikwambia huu ni upepo tu yataisha....bado point 6 kwa inter tumtoe pale juu, Ziroseventytwo kaka upoooo?? Next week tunakupita na Napoli yako....lol
 
Attachments

  • 1450092642812.jpg
    1450092642812.jpg
    47.3 KB · Views: 57
Last edited by a moderator:
Daaaaah naona tumepewa bayern. Wasiwasi wangu upo kwenye ukuta pale nyuma. Chielini naona anakaba sana kwa macho siku hizi. Sehemu ya kumfata mtu man to man anakaba kwa kuangalia. Ila bora kuliko kukutana na balaa la MSN mapema.

Tutahitaji kuwa on top of our game kukabiliana na hawa jamaa, Khedira anahitaji kurudia kuwa fit, Allegri aache kumpanga yule mpuuzi Cuadrado na Mandzukic aache kutafuta ugomvi uwanjani?

Chielini kwa kweli akili zimeanza kuzeeka, anatumia nguvu nyingi akili kidogo though penalty ya jana was debatable, kichwa chetu ni Bonucci, kwa kweli jamaa anapevuka daily lakini huwa anacheza vizuri akiwa na Chielini

Mtoto Dybala ndio faraja yangu msimu huu, kasheshe anayowapa mabeki najua hakuna beki atapenda kukutana naye, Pogba anahitaji kukua na kuacha ubishoo uwanjani
 
Juve is backkkkkkkkkkkk!!!!! Darling nilikwambia huu ni upepo tu yataisha....bado point 6 kwa inter tumtoe pale juu, Ziroseventytwo kaka upoooo?? Next week tunakupita na Napoli yako....lol

Sweetheart nitafarijika tukimnaniiiih mkoloni wa Bavaria, huku kwetu wapinzani wetu na ubavu wao wa soda hata hawaninyimi usingizi, Roma wanacheza kama ile Bolton ya Big Sam, Napoli hawana tofauti na Wigan na Milan imekua Mji Mpwapwa ya Italia, Inter na Mancini wao dawa yao anayo Dybala
 
Last edited by a moderator:
kweli mourinho, mm ninaimani na bianconeri msimu huu. Sturaro naona anapevuka kila mechi. Hapa inabidi wale viungo watano siku hyo nimuone sturaro, pogba, marchisio, khedira na sandro. Kwa mwendo wa sturaro kama ataendelea kukaba vile mechi hyo inamuhusu. Akicheza lichsteiner tukamweka nje sandro basi morata itabidi aanze na dybala sababu morata hategemei mipira ya cross kama mandzukic. Alafu morata anauwezo wa kufuata mipira maeneo ya pembeni. Mechi ni ngumu ila timu ikipangwa vizuri tunaenda robo kiulaini.
 
Haswaaa, hakuna haja ya kupanga beki wa kati watatu siku hiyo.

Tukiwa na kikosi fit nitapenda kuona line up hii: Buffon, Lichtsteiner, Sandro, Chielini, Bonucci, Sturaro, Marchisio Khedira, Pogba, Dybala na Mandzukic. Nimempa nafasi Mandzukic badala ya Moratta kwa sababu jamaa ana some unfinished business na Guardiola, atacheza kutafuta goal kwa nguvu sana siku hiyo, halafu na work rate nzuri sana. Moratta ataingia dk 30 za mwisho
 
Yan bonge la kikosi. Yan nikipata namba ya allegri namuendea hewani kumwambia apange hilo listi chizi.
 
Sweetheart nitafarijika tukimnaniiiih mkoloni wa Bavaria, huku kwetu wapinzani wetu na ubavu wao wa soda hata hawaninyimi usingizi, Roma wanacheza kama ile Bolton ya Big Sam, Napoli hawana tofauti na Wigan na Milan imekua Mji Mpwapwa ya Italia, Inter na Mancini wao dawa yao anayo Dybala

Huyo atawekwa chini tu....sababu style yao inajulikana, kamata Lewa,kamata Muller kitaeleweka tu.....
 
kuna kidudu mtu anaitwa Vidal pale, itabidi Pastor juve2012 amufungia kwa maombi na mapambio huyu El Guerrero
 
Last edited by a moderator:
Juve is backkkkkkkkkkkk!!!!! Darling nilikwambia huu ni upepo tu yataisha....bado point 6 kwa inter tumtoe pale juu, Ziroseventytwo kaka upoooo?? Next week tunakupita na Napoli yako....lol

Juve kwa sasa wamerudi kwenye form. Wamekuja kuongeza ladha pale juu. Ndio maana Mourinho karudi kwa nguvu zote. Wakati walipokuwa wanachechemea alisusa kijiwe.
 
Last edited by a moderator:
Juve kwa sasa wamerudi kwenye form. Wamekuja kuongeza ladha pale juu. Ndio maana Mourinho karudi kwa nguvu zote. Wakati walipokuwa wanachechemea alisusa kijiwe.

Mkuu wangu siwezi isusa Bianconeri, hata nikijaribu huwa nashindwaaa nashindwaaa, nilipigwa ganzi na upotevu wa Mabuluda wenzangu humu

Asee Serie A imenikinai, nataka ndoo la Ulaya kwa hiyo hata nimalize wa tatu sio dhambi ingawa naona tukilitetea tena taji la Scudeto
 
Ni kweli mabuluda kibao wamekimbia kijiwe. Huwezi kuamini hata Gang Chomba anachungulia tu na kukimbia. juve2012 ndio simwelewi kabisa. pachanya, C.E.O. Viper myao wa tunduru woote hawa kitambo hawajaonekana.
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom