Jussa Ismail na Doyo Hassan Doyo LIVE On Star TV

Mkuu Yahya. Jumanne ntakuwa Germany. hivi nikitaka kuacess Stat TV by internet nifanyeje. hata kama kuna malipo please let me know. Au ntaomba kipindi kirecordiwe na majadiliano yawekwe JF kwa wale ambao hatutakuwepo nchini japo tuweze kufuatilia.
 
Shukrani sana Yahya, nimeangalia kipindi hicho japo sikupata nafasi ya kuangalia mpaka mwisho kutokana na majukumu; Ni jambo lililo wazi kuwa Jussa alikuwa akitetea maslahi ya Bosi wake, na si Maslahi ya wananchi wenye CUF! uwezo wa kuface fact, kuchakata, kuchanganua hoja ni mdogo sana huyu jamaa! Poleni wana CUF
 
Tanzania umefika wakati wa kufungua TV ya mijadala siku nzima sio vipindi vya masaa 2
Mkuu naunga mkono hoja. maana mijadala mingi huishia kiaina,na kutuacha bado tukiwa na kiu kujadili zaidi. Na topics ni nyingi mno mpaka zinaingiliana, si umeona leo Machali alivyotaka kuchomekea ya NCCR? ilibaki kidogo ateke mjadala. Hii yote inaonyesha jinsi watu walivyo na njaa ya mijadala. Angalia mijadala ya akina Luhanjo,CAG na Jairo, malipo ya DOWANS, RADA, Posho, Kamati ya RICHMOND, kurudisha pesa za EPA na mashitaka kwa waliorudisha, utoroshwaji wa wanyama KIA, Ndege kusafirisha dhahabu direct kutoka machimboni hadi South Africa etc etc etc. yote hii hupotezewa kiaina. Ingawa hawatujali hata tukijadili lakini tunapojadili kwa mapana inatusaidia kuvent hasira zetu.
 
bahati mbaya nimeikuta hii kwa kuchelewa lakini cuf kwa sasa ni sawa na NGO ya maalim Seif.cuf imeshakufa hata kama wakijitetea sana haina tena muvuto.pamoja na kwamba wamemtimua hamad lakini watekeleze/wafanyie kazi hoja zake wakijenge upya chama chao
 
hivi cuf ni chama cha zanzibar na waislam tu?mbona huku moshi na arusha hamna chama kama hicho?au wanaogopa wakristo?

kwa hoja yako pia ni kwamba chadema ni chama cha wakristo mbona zanzibar hakipo? Acha umasaburi wewe
 
bahati mbaya nimeikuta hii kwa kuchelewa lakini cuf kwa sasa ni sawa na NGO ya maalim Seif.cuf imeshakufa hata kama wakijitetea sana haina tena muvuto.pamoja na kwamba wamemtimua hamad lakini watekeleze/wafanyie kazi hoja zake wakijenge upya chama chao

cdm ni NGO ya mfukoni Kwa mungu mbowe freeman-son, nihatari chama pamoja na kwamba walimfukuzagaKAFULILA ndo akaenda Nccr na sasa ppt wazifanyie kazi hoja zake
 
Ndugu yangu Yahya, Tafadhali andaeni plan B ya huo mjadala wa jumanne maana hali ya hewa nlivoiona leo Sidhani kama kuna mwakilishi wa CUF atakayetokea kwenye huo mjadala wa jumanne!

acha ujuha iweje leo wafike jumanne wasifike nyie ma cdm mnaroho ya kunguru roho utasema fisi
 
kaka warabu huwa ni waoga saaana tofauti na wapemba asilia ambao ni watata kimtindo...
Jussa anatokea oman ndio maana hata ukimwangalia yupo kama wataliban...
Huyu ndio aliwatia nuksi Cuf kule igunga kwa sababu ni mwarabu lakin anataka awe sawa na wapemba wengine... looser

Rostam ninani yule mzungu muafrika tuache mambo ya kibaguzi
 
Swali la msingi kwa mh doyo: . Tunasikia wewe ni mfuasi na muumini nzuri wa cdm. Jee kufukuzwa kwako ni kukinusuru cuf?
huoni kukimbilia chadema ni kujimaliza kisiasa huku ikiaminika CDM ni Chama cha Moshi na Arusha?

mimi si mh Doyo, ila kwamba CDM ni chama cha Moshi na Arusha ni mtazamo potofu sana, angalia matokeo ya uchaguzi mdogo wa Igunga na uchaguzi mkuu uliopita kwa ujumla then ni wazi utaona kuwa CDM ni chama cha watu wote!!!!!
 
mh yahya,ivi kwa nini Hamad Rashid hakusikilizwa?,ameitwa mhasi,kaitwa mwanaharamu na matusi mengi kutoka kwa makam wa rais mh.seif, je ni sahihi kwa kiongozi wa kitaifa kutamka uchafu kama huo? zaidi ni mkutano wa mh.seif akidai hamad anatumiwa na chadema wakati kwa maneno ya mh.rashid tangu mwanzo hata siku zile bunge la9 anawakosoa cdm je mh seif anadhani anaongea alijualo? je nani ataijenga cuf bara kama hamad kataka kufanya ivo kakalipiwa na kufukuzwa? je cuf ni chama kikuu cha upinzani tena? Jaman ji
Mkuu hii ndio habari nzima na mwenye macho aisome na kuielewa... CUF kuna mgogoro mkubwa wa kimaslahi usitegemee kiongozi anayegombea maslahi hayo aje hapa kutoa majibu dhidi yake mwenyewe...Watakachofanya ni kujisafisha kama Lowassa..
 
Back
Top Bottom