Jumla ya Wabunge kumi na tatu (13) hadi sasa wamepelekwa Mahakamani

Duble Chris

JF-Expert Member
May 28, 2011
3,481
564
Hi JF;

Hadi sasa kuna Jumla ya kesi kumi na tatu zilizopelekwa mahakamani zinazo wahusu Wabunge wetu yaani;
  1. CHADEMA wabunge kumi (10)
  2. CCM wabunge wawili (2)
  3. CUF Mbunge mmoja (1)
Je hawa wabunge vipi?
 
Hizo njama za ccm kutafuta ushindi mahakamani,jukwaani hawawezi kushindana na cdm,ipo siku watafikia mwisho tu.
 
Hizo njama za ccm kutafuta ushindi mahakamani,jukwaani hawawezi kushindana na cdm,ipo siku watafikia mwisho tu.
hivi huwezi kuchangia bila kuwa bias? Au ndo tatizo la kutumia masaburi kufikiria.
 
Naona polisi wameanza sasa kuwatumiia mafisadi. Na wabunge wa ccm waliokuwa wanafuata mkumbo wameanza kuumbuka
 
Back
Top Bottom