Jumapili Prof. Assad alikuwa akitafutwa anasema yupo nje ya Nchi

Mihimili iko mitatu tu,na unapoteuliwa usije ukajisahau kwamba kuna mwenye serikali,sio kwamba nakutisha we kachape kazi,,,,,
leo saa sita kamili usiku ndo mda wa aleipita utaisha,wewe kesho uende kazini,
kazi ya rais mojawapo ni kuteua na kutengua,Rais asieweza kutengua teuzi zako huyo basi hafai kuwa rais.......
Mihimili ni mitatu tu
Tatizo LA Profesa ni dini yake tu, same to JK.
 
Tusipaniki tuende hoja kwa hoja
Unaongea kama hujaelimika, kama unadhani kuna wanasiasa nyuma yake wataje humu ni sehemu huru.
Otherwise ongea chumbani na mchepuko wako haya unayoyafikiri na sii kuleta humu
 
Ndio tunahoji hivyo mkuu
Mkuu mbona una fikiri kitoto sana? Mtu akiwa nje ya nchi ukimpigia si utajua tu yupo nchi gani? Hivyo waulize waliompigia wakwambie maana ingekuwa uongo wao ndiyo wangesema kuwa mzee mbona upo +255 na sio code nyingine?

Au wewe unadhani kuwa nje ya nchi inakuwaje?
 
Baba wa Taifa mwalimu Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa aliyeishiwa hoja hujificha kwenye dini au kabila ili kutafuta huruma ya Wananchi

Wapinzani kwisha habari hahah
Sijawahi kumuunga mkono Membe. Ila awamu hii ya tano inakuwaje kiongozi wetu wa nchi anakuwa na chuki ya wazi dhidi ya wapinzani na sisi waislamu? Angalia Muislamu mwenzatu tena muadilifu anatolewa kazini kwa ajili ya uislamu wake, kisha anapewa mkristo tena mzembe kazini? Kwa ajili ya uislamu wake alidhalilishwa huko bungeni mpaka kuvuliwa viatu hadharani, na aliyemfanyia hivyo ni mkristo. Kisha sasa amefukuzwa kazi tena kwa dharau kubwa. Kibaya zaidi aliyepewa anafahamika kabisa ni mzembe ila ukristo wako umembeba. Nakuuliza, wapinzani na sisi waislamu tumemkosea nini rais huyu?
 
Tatizo nyie vijana mmezoea kusikia habari zinazowafurahisha

Kama tunaitaka demokrasia kweli tujifunze kuvumiliana
Sitaki kuamini au kutoamini, nataka kujua.

Kama huwezi kuthibitisha, huo ni umbea tu.
 
Baba wa Taifa mwalimu Nyerere aliwahi kusema mwanasiasa aliyeishiwa hoja hujificha kwenye dini au kabila ili kutafuta huruma ya Wananchi

Wapinzani kwisha habari hahah

Hiki kinachoendelea kwenye uchaguzi hivi sasa ndio hoja za ccm zinapoonekana? Ccm aliyoiacha Nyerere ndio hii inayojasi box la kura wazi wazi?
 
Mtapata tabu sana kujisafisha na hili sakata la CAG,na litakuwa limezidi kuwafumbua macho watanzania wengi kuuangalia huu utawala kwa jicho la machale maana hata uwe POPOMA uliepitiliza lakini ukikaa chini na kufikiria pamoja na ujinga wote lazima utashangaa ni mzalendo gani ambae yeye kila siku anawaambia watu ukweli lakini yeye hataki kuambiwa ukweli!?yeye kila siku sentesi ni "nataka niwaambie ukweli","msemakweli ni mpenzi wa Mungu","huo ndio ukweli mchungu",lakini yeye kuambiwa ukweli hataki hata kidogo kwanini!?.
 
Back
Top Bottom