Juma Njemba: Sangoma aliyeishi maisha ya peponi akiwa duniani

Wachagga kila siku nawaona huku Ludewa wanafuata uganga...Wachagaa sasa hivi ndio wanaongoza kutoa kafara ndugu zao ili wapate mali
hili hata mimi nakuunga mkono, nasikia vijana wa kichaga wa miaka hii wanabidii sana ya kutafuta uchawi ili wawe matajiri.

wanataka kwenda sambamba na wakinga.
 
Namjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.

Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
 
Mkuu hiyo "the rest is history" hebu fafanua huo mkasa tupeane hii history aisee!!!
 
Namjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.

Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Ebu weka nyama yenye minofu nofu katika bandiko lako
 
Namjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.

Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Acha uongo, taja hilo jina la mtumishi,....Manabii wa uongo nyie
 
Sio muhimu kujua jina, ila kama we ni mtu wake wa karibu lazima unaelewa kuwa alikufa kwa PIGO, pigo kuu zaidi ya uchawi, hakuna mchawi ambaye angeweza kumgusa, hapo ndipo alipotokea Mungu aliyempiga mapigo kumi ya Kimisri ghafra, Mungu wa Israel, ni baada ya Mtumishi kupunga mikono juu...
 
Kwan kati ya juma njemba Na bint Rukungu nani alikua mchawi mkubwa kumshinda mwenzie? Hizi story ulisimuliwa na wewe umekuja kusimulia Kweli huyo mtu alikuepo huko ujiji lakin umeongeza chumvi nyingi
Kumbe Kigoma kulikuwa na Mama mganga pia?
 
Namjua huyo njemba, kuna mtumishi mmoja alitembelea kigoma mwaka huo, wakamsimulia uchawi wa huyo Jamaa, akasema wampeleke akamuone, wakapita na Gari karibu na nyumbani kwake, bahati wakamuona amekaa mbele ya Nyumba yake, wakageuza na gari kurudi nyumbani.

Mtumishi akawaambia wadau kufika kesho huyu hatakuwepo, mtumishi kapunga mkono kuelekea mbinguni, the rest is history...
Hahahahaha porojo nyingine hizi
 
Back
Top Bottom