raraa reree
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 9,200
- 26,726
Kiroboto kama kiroboto
Mkuu namimi July napindua meza asee ila umenizidi kidogo sana 3yrs.Hahhah,mimi nina miaka 18.Huyu Juma mimi nipo primary ninamsikia mimi nina 36 na July ninagonga 37.Yeye ana 37 haya bwana.
37 as thirty seven au??Mkongwe wa muziki wa bongofleva, Juma Kassim Kiroboto maarufu kama Juma Nature anasema watu waache kumzushia kama amezeeka wakati ndio kwanza ana miaka 37 hajafika hata miaka 40. Yeye bado kijana mdogo wasimuite mzee.
My take:
Nature ameingia kwenye mkumbo wa dada yetu Wema Sepetu, ambae hajawahi kuvuka miaka 28 tangu mimi nikiwa mdogo. Kwanini mastaa wanapenda kurudisha miaka nyuma?
Uko sawa.Bila shaka atakuwa amemaanisha miaka 47, badala ya 37!
Juma Nature amesoma na Doro darasa moja Mkuu. Na wakakutana na kuwa pamoja kwenye TMK na Wachuja Nafaka. Wote ni wa 1980.Ninavyomfahamu JUma Nature ni kwamba alizaliwa mwaka 1980 na kwa sasa ana 43, sababu mwenzake Mulla na mmoja wao kwenye kundi lao la muziki la TMK nimemsahau jina, niliwapita madarasa mawili pale Kibasila nilikuwa naishi nao jirani kota za Bora pale Keko
Msamehe yeye, msamehe sana, amekosa yeyeClassmate Unazingua
na kata kabisa na cheti cha kuzaliwa wasikuzingueMimi nina 33 mwaka huu ila nimeamua kupunguza 10 yrs, mwezi wa 10 ntafikisha miaka 23.
KR Mulla anasema katika mstari wake mmoja " walishaita mechi ili watupige, akina Mohamed Kauzibe"...Juma Nature amesoma na Doro darasa moja Mkuu. Na wakakutana na kuwa pamoja kwenye TMK na Wachuja Nafaka. Wote ni wa 1980.
Na 42 utasema 24 au sio?!Nani atakaye kuzeeka?
Nikifikisha 32 nageuza 23.
Kazi kama ipi?Na 42 utasema 24 au sio?!
Kuzeeka sio umri bali pale mwili utakapoanza kushindwa baadhi ya kazi au majukumu ya kila siku!!
Duh! Nilikuwa nakuona kama mmama hivi kumbe duh! Nisalimie kaka yako!Hahhah,mimi nina miaka 18.Huyu Juma mimi nipo primary ninamsikia mimi nina 36 na July ninagonga 37.Yeye ana 37 haya bwana.
25 inaweza kuwa 52😆😆😆Kazi kama ipi?
Nikifika 42 naigeuza
Kwasasa natumia 25
unata kusema mimi na wewe mkubwa mie?25 inaweza kuwa 52
Migegeduo, utaitwa kwenye 6x6 utakimbia mwenyewe kumbe umedanganya umri
Yeye mwenyewe anasema ana 37 na ameomba asikilizwe, kwahiyo hatuna namna acha tumsikilize tuNinavyomfahamu JUma Nature ni kwamba alizaliwa mwaka 1980 na kwa sasa ana 43, sababu mwenzake Mulla na mmoja wao kwenye kundi lao la muziki la TMK nimemsahau jina, niliwapita madarasa mawili pale Kibasila nilikuwa naishi nao jirani kota za Bora pale Keko