Juma Nature kama muziki umekushinda tafuta kazi nyingine, usichafue watu

sinza pazuri

JF-Expert Member
Aug 16, 2014
2,525
7,377
20230905_082851.jpg

Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.

Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.

Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua.

Usela wa uswahilini unamharibia sana.

Nature bado anashikwa masikio na mtu aliyewagombanisha na na washikaji zake anaeitwa Rich One huyu mchizi ni wale watu wanaoamini kwenye majungu na fitna ili kusavaivu. Amekuwa akimchafulia sana Nature mambo yake yeye anajua Nature anapenda beer basi akishamtafutia hela ya beer amemmaliza.

Sasa Nature unapopata nafasi ya pili usiitumie vibaya. Wewe unajua kabisa Diamond hawezi na hatokaa hata kufikiria kukulipa laki tano upande juu ya stage.

Nature unajua Diamond anakupambanieni kiasi gani mrudi kwenye game tena bila yeye kupata chochote. Wewe ulishawai mtukana mpaka kwenye nyimbo zako yeye anakulipa kwa kukupa shows mikoa 10 na kusaidia kuwapromotia album mnayoandaa na collabo za wasafi na wasanii wakubwa kawatolea kiroho safi na hapati hata senti 5.

Huyo meneja wako Rich One amewai fanya nini la maana toka utoke kwa Fella?

Haya ameandika alichoandika kwenye akaunti yako, mmepata faida gani? Yeye anataka kukukeep usitoke kwenye mikono yake wewe unapata nini? Beer?

Juma kaka badilika au tafuta kazi nyingine ya kufanya maana unazingua sana, sio leo sio jana achana na ego za nilikuwa mkubwa hata r kelly alikuwa mkubwa ila nyakati zinabadilika tumia akili.
 
View attachment 2739422

Ulitaka Akae kimya? Ulitaka Aeleweke vipi na watu Kutuhudhuria kwenye show ulitaka aseme uongo ili kumfurahisha nani? Wakati ufike Watu waache uoga na wauseme ukweli no matter what...
Hata Diamond kipind anaamza alikataa sana show za Laki tano na milion Milion na akafanikiwa kuwepo hapo alipo...
Legend Kama J.nature kumpa laki Tano kwenye show ni Tusi tena kubwa na nakubaliana naye na amesema ili Watu wasije wakamchafua Aonekane hajaonekana kwa na kala pesa za watu....
 
We ndio ukue kutambua kwamba Nature ni mtu mzima na ana uwezo wa kutambuwa kwamba nini anataka na. Kipi hataki. We nani wa kumuingilia katika hii haki yake
 
View attachment 2739422

Kazi ya sanaa kama ilivyo taaluma nyingine inahitaji sana discipline.

Na nidhamu ya kazi ni tatizo kubwa sana kwa kaka yetu Juma Nature.

Hatukatai Juma ni legend anaepaswa kupewa heshima, ila amekuwa anazingua sana kwa kutokubali kukua.

Usela wa uswahilini unamharibia sana.

Nature bado anashikwa masikio na mtu aliyewagombanisha na na washikaji zake anaeitwa Rich One huyu mchizi ni wale watu wanaoamini kwenye majungu na fitna ili kusavaivu. Amekuwa akimchafulia sana Nature mambo yake yeye anajua Nature anapenda beer basi akishamtafutia hela ya beer amemmaliza.

Sasa Nature unapopata nafasi ya pili usiitumie vibaya. Wewe unajua kabisa Diamond hawezi na hatokaa hata kufikiria kukulipa laki tano upande juu ya stage.

Nature unajua Diamond anakupambanieni kiasi gani mrudi kwenye game tena bila yeye kupata chochote. Wewe ulishawai mtukana mpaka kwenye nyimbo zako yeye anakulipa kwa kukupa shows mikoa 10 na kusaidia kuwapromotia album mnayoandaa na collabo za wasafi na wasanii wakubwa kawatolea kiroho safi na hapati hata senti 5.
Huyo meneja wako Rich One amewai fanya nini la maana toka utoke kwa Fella?
Haya ameandika alichoandika kwenye akaunti yako, mmepata faida gani? Yeye anataka kukukeep usitoke kwenye mikono yake wewe unapata nini? Beer?
Juma kaka badilika au tafuta kazi nyingine ya kufanya maana unazingua sana, sio leo sio jana achana na ego za nilikuwa mkubwa hata r kelly alikuwa mkubwa ila nyakati zinabadilika tumia akili.
Umeshakunywa supu?
 
Juma Nature ni mfano wa kibwengo maji amebaki poyoyo tu nimemuona matope tu, sio ajabu mmakonde haiba yake roho mbaya na wivu. Juma hana uwezo wa kuipata hata elfu 20 Kwa siku, zero brain
 
Ulitaka Akae kimya? Ulitaka Aeleweke vipi na watu Kutuhudhuria kwenye show ulitaka aseme uongo ili kumfurahisha nani? Wakati ufike Watu waache uoga na wauseme ukweli no matter what...
Hata Diamond kipind anaamza alikataa sana show za Laki tano na milion Milion na akafanikiwa kuwepo hapo alipo...
Legend Kama J.nature kumpa laki Tano kwenye show ni Tusi tena kubwa na nakubaliana naye na amesema ili Watu wasije wakamchafua Aonekane hajaonekana kwa na kala pesa za watu....
Rich one ndio alioandika zile fitna. Nature alikuwa kazima wakati huo na balimi zake 8
 
Ulitaka Akae kimya? Ulitaka Aeleweke vipi na watu Kutuhudhuria kwenye show ulitaka aseme uongo ili kumfurahisha nani? Wakati ufike Watu waache uoga na wauseme ukweli no matter what...
Hata Diamond kipind anaamza alikataa sana show za Laki tano na milion Milion na akafanikiwa kuwepo hapo alipo...
Legend Kama J.nature kumpa laki Tano kwenye show ni Tusi tena kubwa na nakubaliana naye na amesema ili Watu wasije wakamchafua Aonekane hajaonekana kwa na kala pesa za watu....
Hilo ni tusi la nguoni kabisa. Yani umlipe mtu laki tano mwaka 2023 ambapo bei elekezi ya beer moja ni TZS 1,700? Bei ya litre ya Petrol ni TZS 3,200?

Mwaka 2003 ambayo ni miaka 20 nyuma alikuwa kwenye peak alilipwa hizo hizo laki 5/5 lakini bia iliuzwa 500 kwa chupa na litre ya petrol TZS700. It made more sense.
 
Kwamba Kwevo anawapambania vilivyo wewe jamaa ni juha kubwa sana...Kwevo anajipambania yeye na brand yake na Tamasha lake lakini ukweli ni kwamba hayo matamasha hayaingizagi pesa ya maana kwakuwa hamna VIP wala nini.Fiesta ndio Tamasha pekee linalolipa vizuri nchi hii
 
Hilo ni tusi la nguoni kabisa. Yani umlipe mtu laki tano mwaka 2023 ambapo bei elekezi ya beer moja ni TZS 1,700? Bei ya litre ya Petrol ni TZS 3,200?

Mwaka 2003 ambayo ni miaka 20 nyuma alikuwa kwenye peak alilipwa hizo hizo laki 5/5 lakini bia iliuzwa 500 kwa chupa na litre ya petrol TZS700. It made more sense.
Ukweli ni kwamba Juma Nature hajalipwa laki 5 na wala sababu ya kutoenda mtwara sio malipo alizidisha vitu vyake.
Huu ndio ukweli, mengine ni yale yale mkipata upenyo wa kutema chuki zenu na wivu kwa wasafi.
Hautopata ukweli mwingine zaidi ya huu nilioandika hapa.
 
Back
Top Bottom