Juma Dogan: Kada wa CCM 'aliyemwokota' Abdul Nondo Mafinga na kumpa nauli ya taxi aende kuripoti Polisi kupatikana kwake

Juma Dogan tunamuelewa vibaya, yeye kasema kuna mwanafunzi kashushwa hapa, anasema ni mwanafunzi wa mlimani alitekwa jana, ''tumempa'' nauli aende polisi, tumempa sio nimempa, maana yake walikuwa wengi sehemu ambapo kijana alitokea, huu ni msaada , ukiwa kwenye shida unaweza saidiwa na mtu yeyote bila kujali itikadi, mimi nadhani kwanza tungetoa hongera kwa Juma Dogan na wenzie waliotoa huo mchango kwa kijana sio kuwatuhumu. Hii ni habari nzuri kwa polisi kukusanya ushahidi, maana Juma yupo, Basi lipo, yule aliyesafiri nae yupo, kijana yu hai, hivyo huyo kijana ataulizwa kama juma amehusika au hakuhusika.
 
Itapendeza ikiwa ni mahakamani pale kisutu tujae kusikiliza na kuitazama sinema.
 
Kada haukumuona binti aliekua anawasiliana na Nondo njia nzima yaani mtu ametekwa kapatikana mmetoa nauli tuu aende police haya bhana ingawaje Mimi sijakuelewa kabisa ila kwa kina Siro wewe upo huru....
 
Anaweza asiwe mshukiwa.

India zamani walifanya hivyo. Unampeleka mtu Polisi yanakuwa yako gharama zote mpaka hospitali na ushahidi wa kuisaidia polisi. Basi watu wakawa wanaacha hata majeruhi wa ajali wanapita pembeni tu.

Siku hizi kampeni zimeanza za kuelimisha watu umuhimu wa kuwasaidia majeruhi na watu wanaookotwa kwa shida mbalimbali na kuwapeleka panapostahili.

Dreva wa taxi mmoja maarufu jijini Delhi anafanya hivyo na taarifa zake ziliandikwa sana na vyombo vya habari hivi karibuni.

Tumshukuru huyo bwana. Tusimlaumu kwa kutompeleka maana kwa hakika ingebidi aisaidie polisi. Bado anapaswa kuisaidia. Ila asiogope. Kutoa ushahidi kitu chema.
Je hawa watu wasio julikana baada ya awamu hii ya 5 na 6 wataendelea kuwepo?
 
Back
Top Bottom