Mohammed Hamad
JF-Expert Member
- Jan 17, 2011
- 3,988
- 1,304
Wakimaliza wanasema Mtatiro ana ongea bila kufikiri je yale yalifanyika pale arusha ndo kufikiri kote kwa viongozi wa chadema? they all the same, i dont trust them. na ukitaka kupima hayo yote angalia yasemwayo humu, watu hawana hekima, wala hawana muda wa kutafakari, na wanajiita wasomi, full kufata upepo, bora chadema imesema hivi, woote wanaunga mkono, kama mazezeta. namna hii taifa hili halina mkombozi, hadi tuweze kutofautisha ushabiki na reality.
Siku watanzania wakijua kupambanua hizo nyekundu ndio utakuwa mwanzo wa safari kuelekea Tanzania mpya yenye matumaini....