Kirode
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 3,566
- 82
ingine alikimbia na chench ya helkopta igunga
tuhuma nyingine ya kuua chama cha cuf
tuhuma nyingine ya kuua chama cha cuf
POINTLESS AND NONSENSE COMMENTS, kukaa kimya kwa jambo usilolijua ni hekima kuliko kuongea
Ni kweli yeye ni ustadhi na tulikuwa tunaswali nae pale mlimani pia jamaa yuko TISS kwahiyo hapo yuko kwa mission husika mwacheni bana. Jamaa huyo alikuja mlimani akiwa mzee hivyo hivyo na muharibifu wa movement za kimapinduzi siku zote wallahi akihamia chadema naacha ubunge hana tija kwenye maslahi ya Taifa
adai hilo jina lake toka anazaliwa anaitwa Julias Sunday Chales Mtatiro.ila ukienda kwao anajulikana kwa jina sunday hivyo watu waache kumchafu.
POINTLESS AND NONSENSE COMMENTS, kukaa kimya kwa jambo usilolijua ni hekima kuliko kuongea
Issue za majina hazina uzito sana Tz ikumbukwe asilimia kubwa ya watz hasa awliosoma miaka ya 90 kurudi nyuma wana majina ya kurudia shule za msingi wakati sekondari zilipokuwa chache hata mmoja wa viongozi wa juu CDM nae nashangaa siku hizi jina limebadilika tofauti na tulipo kuwa nae shule!Muhimu mtu awe na elimu stahiki aliyoisomea bas.
inasemekana wakati anahitimu darasa la saba hakufaulu hivyo ikabidi arudie darasa kwa kutumia jina la mtu mwingine.na inasemekana mweye jina halisi la Julias yupo huko kijijini kwao.so leo wakati akihojiwa star tv asubui amekana na kusema majina yote yake.
inasemekana wakati anahitimu darasa la saba hakufaulu hivyo ikabidi arudie darasa kwa kutumia jina la mtu mwingine.na inasemekana mweye jina halisi la Julias yupo huko kijijini kwao.so leo wakati akihojiwa star tv asubui amekana na kusema majina yote yake.
KARIBU MTATIRO JITETEE BAnA ETI WEWE NI ANSWARI SUNA AU??
Kwao wapi? Hili jina la Mtatiro kama la Tarime vile. Kama ni la Tarime basi hawezi kuwa na majina yote hayo. Yaani ukute Mkurya anaitwa Julius Sunday Charles Mtatiro? Hakuna. Atuambie majina ya baba yake ni yapi? Nimeanza kunusa harufu ya kukariri darasa la sita na saba.
lile sio kovu nimwemwangalia vizuru sana asubui hata mtu wa kamera star tv umemsogeza vizuri sana. pale pana dalili ya usugu fulani.Tafuta ile picha wakati wanaenda Ikulu kukutana na Rais utaona bwana Mtatiro ana sigda/taa kubwa tu. Ila kuna watu walisema siyo sigda bali ni kovu la ajali.
Mkuu wanawaanisha jina lake la kislam! Hapa ni jf kaka
Kwani Zitto Zubeir Kabwe lile jina lake la Ki-CHADEMA wanamwita nani vile???