FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 93,102
- 109,505
umeanzisha hoja ya Nyerere kuweka misalaba ikulu bila kuweka evidence halafu unataka watu tuamini kwa hoja zako za kipunguani, acha uzushi na uchonganishi, akili zako hazina uwezo wa kufikiri zaidi ya udini!
Na huyo mleta mada alileta ushahidi upi kuwa pale palikuwa patakatifu au pana utakatifu upi? ile ni office ya Rais, mtumishi wa Watanzania tuliomchaguwa na ambao hawajamchaguwa, huo utakatifu utoke wapi?