Emma.
JF-Expert Member
- Jun 25, 2012
- 19,935
- 5,558
Acheni fitina ikulu ni ya Lowassa 2015
Ikulu hakuna wodi ya wagonjwa wala ya watu mafisadi kama Lowassa
Acheni fitina ikulu ni ya Lowassa 2015
Usimuhukumu mtu wakati hata ushahidi hunao,hivi EL akiupata urais wanaombeza weka wapi nyuso zao
Sija panic nakuuliza tu naomba jibu....
Hata ukiwaangalia Rais Carter, Rais Clinton, Rais Bush na Rais Reagan; nao walibadilika vya kutosha kimwili kutokana na stress ya kazi ndani ya miaka minane waliyokuwa Ikulu. Maajabu viongozi wetu wa Afrika hata wakikaa ikulu miaka 20 hawabadiliki kimwili kutokana na stress ya kazi bali wanabadilika tu kutokana na umri kusogea. Masikini Mama Afrika, nakulilia!!!
Hata ukiwaangalia Rais Carter, Rais Clinton, Rais Bush na Rais Reagan; nao walibadilika vya kutosha kimwili kutokana na stress ya kazi ndani ya miaka minane waliyokuwa Ikulu. Maajabu viongozi wetu wa Afrika hata wakikaa ikulu miaka 20 hawabadiliki kimwili kutokana na stress ya kazi bali wanabadilika tu kutokana na umri kusogea. Masikini Mama Afrika, nakulilia!!!
Kweli Kabisa mkuu hata juzi kuna gazeti moja la uingereza lilitoa viongozi wao mbali mbali walivyochoka leo hii ni afrika tu viongozi wananawili na wako tayari kufia kwenye kidonda kama nzi ilimradi wameingia ikulu kwani wanajua huko wanachoenda kufanya.View attachment 240240
Mwalimu nyerere aliposema Ikulu sio mahala pa mchezo ni patakatifu alimaanisha lazima kiongozi afikiri juu ya watanzania na mustakabali wao mmemwona Obama?Hata ukimwongeza muda hatamani tena,Nashangaa africa wanang'ang'ania Ikulu.
We mtu kila dakika ni kucheka tu we ikulu kinakuchekesha kitu gani.Na hapo ndio utangua viongozi wetu ni watu wa kushibisha matumbo tu
Wakiingia ikulu wanaanza kunona kila siku zikisogea.
Ukimuona mtu anatumbukiza udini au ukabila kwenye siasa, ujue huyo mtu amefilisika kisiasa!Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.
Mtaenda kinyume nyume ktk kila kitu hadi lini.Ni rahisi sana kuingia shimoni.Ndio maana masiha yenu ni miseries kila mahali duniani.hamkosi sababu za kuleta vita kwa vile hamna dira ya kufikiri.Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.
Ikulu si mahali patakatifu. Mwalimu alikuwa mwongo kwa hilo, aliwaongoza wa TZ kwa misingi ya Ki Dini.
Kucheka ni rahisi kuliko kufikiri. Kufikiri kunaumiza kichwa.We mtu kila dakika ni kucheka tu we ikulu kinakuchekesha kitu gani.