Jukwaa la Mapenzi na utalii wa ndani 2011:

Masaki

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,463
753
Wadau wa jukwaa la Mapenzi, Mapendo na Uhusiano.

Ni wakati muafaka tena wa kutembelea vivutio vya utalii wa ndani kwa mwaka huu wa 2011. Ikumbukwe kwamba hii ilishafanyika kabla kwa wadau kutembelea vivutio vya utalii hapa nchini, wakala raha, wakafahamiana na kubadilishana mawazo.

Mwaka huu wa 2011 uko katikati sasa. Nimeona ni vema tukajidili suala hili yakiwemo mapendekezo ya kivutio kipi cha utalii tukitembelee mwaka huu.

Mjadala uko wazi....!!
 
Attachments

  • Serengeti.jpg
    Serengeti.jpg
    39.6 KB · Views: 80
Husninyo na Gaga hebu semeni bana acheni masihala mie napendekeza Seruuu
Ukiniuliza kwanini kwa sababu sijawahi kufika huko kwingine nishakwenda kama mara tatu tatu hivi.
 
Wadau wa jukwaa la Mapenzi, Mapendo na Uhusiano.

Ni wakati muafaka tena wa kutembelea vivutio vya utalii wa ndani kwa mwaka huu wa 2011. Ikumbukwe kwamba hii ilishafanyika kabla kwa wadau kutembelea vivutio vya utalii hapa nchini, wakala raha, wakafahamiana na kubadilishana mawazo.

Mwaka huu wa 2011 uko katikati sasa. Nimeona ni vema tukajidili suala hili yakiwemo mapendekezo ya kivutio kipi cha utalii tukitembelee mwaka huu.

Mjadala uko wazi....!!

Masaki naona North of Serengeti National Park maana migration ndo inaelekea Masaai Mara
 
Back
Top Bottom