Jukwaa la katiba Tanzania na mdahalo wa katiba (live itv & radio one)

Ni Mimi Msiogope

JF-Expert Member
May 28, 2012
352
200
Wakuu nimepata mail hii nikaona niwajulishe wengine humu ndani. Samahani MODS kama nitakuwa nimeweka sehemu ambayo haistahili. Nina kazi hapa imenibana sana.

Jukwaa la Katiba Tanzania linakukaribisha kwenye mdahalo wa wazi kujadili
Masuala ya Katiba Mpya kwa Makundi yote ya Jamii, Utakaorushwa moja kwa
moja (LIVE) na ITV/ Radio One

MAHALI: Hoteli ya Blue Pearl -Ubungo Plaza

TAREHE: 1/09/2012, Jumamosi

MUDA: SAA 8:30 Mchana - 12:00 Jioni

HAKUNA KIINGILIO, WANANCHI WOTE MNAKARIBISHWA!!


TAFADHALI SAMBAZA TAARIFA HII KWA WANANCHI WENGI ZAIDI!
 
Wazungumzaji wakuu kina nani? isije kuwa Jaji Warema... anyway kama Prof Shivj, sitoweza kuhudhuria wala kutazama.
 
Mbona nimesikia kwamba jana 31st August Jaji Warioba amekataa Mdahalo usifanyike?
 
Back
Top Bottom