Jukwaa la katiba siku ya Jumamosi karibuni - wiki hii

Kisendi

JF-Expert Member
Jan 29, 2009
699
178
Ndugu wana Jukwaa la katiba,
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimetualika wanajukwaa wote kushiriki mdahalo wa Katiba utakaofanyika Ubungo Plaza siku ya Jumamosi Tarehe 30/07/2011 saa 3-7 mchana. Wasemaji wakuu ni Wakili Francis Stola wa Tanganyika Law Society, Wakili Magdalena Rwebangira wa TAWLA na Mr. Bashiru Ally wa UDSM.
Mratibu.
 
Wadau kutakuwa na mdahalo wa katiba jmosi hii tarehe 30/01/2011 katika ukumbi wa crystal ubungo plaza,watoa mada ni bashiru ally,deus kibamba na wakili francis stola.
Mdahalo utarushwa live itv saa nne asubuhi.
Source:itv.
 
Wadau kutakuwa na mdahalo wa katiba jmosi hii tarehe 30/01/2011 katika ukumbi wa crystal ubungo plaza,watoa mada ni bashiru ally,deus kibamba na wakili francis stola.Mdahalo utarushwa live itv saa nne asubuhi.Source:itv.
Nathani utakuwa umekosea kuandika mwezi. Ungawa utakuwa umeeleweka.
 
Mtarusha matangazo kupitia chanel zipi za tv na radio?sio wote tupo dar au tunaweza hudhuria.kazi nzuri.
 
Huo mdahalo ni wa maana kuliko kwa ustawi mzuri wa taifa letu hivyo sharti nihudhurie. Lakini, je umeme utaturuhusu??????????????????????????????
 
kwa wadau wa katiba mpya na wapenda nchi yetu,kesho kutakuwa na kongamano la katiba pale ubungo plaza kuanzia sas tatu asubuhi mpaka saa saba mchana. mada ni "mchango wa wanafunzi wa elimu ya juu kuelekea katiba mpya" pamoja na kwamba hli ni kwajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu,watu wote mnakaribishwa sana. kongamano hili limeandaliwa na kituo cha sheria na haki za binadamu(LHRC) kwa kushirikiana na vyama vya haki za bidamu vyuo vikuu vya dar es salaam. unaweza ukapiga 0714 731006 au 0753 380 229 kama unataka maelezo zaidi
ALUTA KONTINUA...
 
dah bahati mbaya sana majukumu yamenibana i wish ningekuwepo kuichanachana katiba mbovu ever to be written chini ya jua hili la maanani
 
dah lini mtafanyia kongamano kama hilo uku Mtwara, hata na sie binadamu jamani na kuna vyuo vikuu pia uku
 
mdahalo umeanza, rais wa Tanzania lawa society ndo anaongea sasa........kabla ya hapo kulikuwa na shukrani kwa waandaaji
 
antoaumuhimu wa katiba.......katiba ni mkataba kati ya viongozi na wananchi
 
anamnukuu nyalali alisema "ni muhimu kuelewa mambo yaliyopita ila tuepuke kuish maisha yaliyopita"
 
Back
Top Bottom