Jukumu nililomkabidhi wife amelishindwa

Mfanyie kitchen party, hata kama huna pa kwenda chukua chumba guest kaa mpaka saa saba rudi nyumbani, ukifanya hivyo mara mbili ataisoma namba.
At least wewe umeiona ujinga wa mkewe, yaani anataka abebwe vp tena jamani huyo naye? Au mkuu ni le mandingo'z
 
At least wewe umeiona ujinga wa mkewe, yaani anataka abebwe vp tena jamani huyo naye? Au mkuu ni le mandingo'z
Hata kama jamani tangu alipoelezwa swala la ndoa, mahari ikatolewa, akaolewa, nyumba ilijengwa na watoto amezaa hajaizoea tu????
 
Hata kama jamani tangu alipoelezwa swala la ndoa, mahari ikatolewa, akaolewa, nyumba ilijengwa na watoto amezaa hajaizoea tu????
Haa haa sema ndo shida ya watu wa sample hio ambaye
Hanywi
Havuti
Sio mkware
Yaani taabu kweli kwel ila at least Mara 3 kwa week iko poa zaidi.
 
Ni mwaka sasa tangu nilipoamua kumfutia wife majukumu yote ya nyumbani na kumbakishia jukumu moja.

Ni hivi kifupi mimi na wife wote ni watumishi, sasa nimemwambia majukumu yote yanayohusu hela mimi nitahusika,

Na mengi nimeyafakinikisha bila msaada wake mfano nyumba nimeshamaliza, watoto nawalipia ada, nimemnunulia gari yake, vyakula na mpaka chupi namnunulia,

Cha msingi yeye nimemwambia akitoka kazini anaoga ananisubiri kitandani kwa ajili ya kula tunda angalau mara tatu kwa siku, lakini anaanza porojo ooooh nimechoka oooh sijui mara hiki mara kile.

Nimemwambia ajipanga la sivyo nitafikiria vinginevyo, mimi ugojwa wangu ni pale chini sinywi wala sina starehe nyingine na wala sina nyumba ndogo, nimempa week akishindwa nitabadili mawazo.


Mkuu weka picha tuone..!!
 
Asante kwa kutujulisha kuwa una uwezo mkubwa wa kipesa mkuu. Bila shaka PM yako itakuwa imejaa. Mabinti wa hapa JF tangazo la biashara hilo limeshatolewa. Changamkieni fursa!
 
Halafu ukiona yeye huo wito ameushindwa ujue kuna sehemu hujui kuutimiza ipasavyo, sio wewe kujiridhisha ni nyie mridhishane, ubinafsi ndio unaoharibu na kutoa ladha ya mahusiano matamu.
 
Dar Kuna mmoja nilikuwa naye miaka hiyo SAUT aise yule angekufaa maana yeye anataka hata Mara kumi kwa usiku mmoja Tu mpaka nikamkimbia........... Akizengua huyo nikupe namba yake!
 
Tatu kwa siku imekua dozi ya dawa?
Dah ila naye aliingia makubaliano ye mwenyewe sasa nahisi kaona moto wake sio wakupima. Ila na nyie mkipigwa viwili kwa week mnalalamika Mara ooh jamaa siku hiz umekuwa hivi Mara vile.
Sasa mkipewa nayo mnakataa mnatema tena ila ajue kuna wenzake wana njaa huko wanatoa hata cha kuonesha kwanza ebbo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom