mkurugenzi1
Senior Member
- Mar 22, 2009
- 122
- 28
wandungu hebu jaribuni ku google 'may 21 2011' soma hizo articles then tupeane maangalizo.:noidea:
Last edited by a moderator:
wandungu hebu jaribuni ku google 'may 21 2011' soma hizo articles then tupeane maangalizo.:noidea:
I wonder they cannot understand that simple statement! God reserved the day to Himself, period!Naja upesi shika sana ulicho nacho.....lakini kwa habari ya siku ile hakuna aijuaye ILA BABA PEKE YAKE.
Eh! Yaani kumbe hata Yesu naye hajui!?Naja upesi shika sana ulicho nacho.....lakini kwa habari ya siku ile hakuna aijuaye ILA BABA PEKE YAKE.
Eh! Yaani kumbe hata Yesu naye hajui!?
Eh! Yaani kumbe hata Yesu naye hajui!?
Unao ushahidi wa hayo maneno yako, kuwa aliwajibu kibinadamu na si kiroho?Yesu alilijibu swali hilo kibinadamu baada ya kuelewa walilokuwa wanawaza afuasi wake. Wangeuliza kiroho zaidi angewajibu kiroho piai. Wale jamaa walitaka wajue mwisho ni lini ili wakae tu wanamsubiri bila kutangaza Habari Njema.
Too bad that mohamed came up with his version of dirty gospel!! .
Kwani ni kosa kujiandaa?Mkuu Ulitaka awajibu kuwa ni jumatano au jumamosi ya tarehe fulani ili wajiandae?
chadema ndo wanataka kuleta vita?
Key jelly.
Habari zenu ndugu zangu great thinkers! kwanza kabisa poleni na shida/taabu mbalimbali ya dunia hii, Ok baada ya salaam hizo leo nimekuja na hii hoja baada ya kusikia habari zikienea sana mitaani toka kwa mapaparazi wanaojiita wao ni makachero wa mbinguni wakidai mwisho wa dunia ni 21/5/2011, sasa sijui kama kuna ukweli wowote wa hili jambo?
Mchungaji wangu wa kiroho hajanipa hizo taarifa. Ngoja Jumapili kama atatoa hizo taarifa nitakwambia; lakini kwa kuwa wewe tayari una hizo taarifa na unaamini hivyo tumia mali zako zote kabla ya hiyo tarehe 21/5/2011