Jubilee ya miaka 50 ya mh. Freeman aikael Mbowe

Kamanda naomba uchukue tu tahadhari pamoja na viongozi wote wa chama watakao hudhuria maana waliowapeleka viongozi wengine apolo india wanatamani wawapeleke makamanda wetu. Ila Mungu yu pamoja nasi kila kitakachoinuka kisipokua kwa jina la bwana kitazimwa.
 
is not issue of an angel!!!!! Keep on waiting mbowe to lead z party and win an elction!!!!!
why don't you start yours so that we can see how perfect you are? Otherwise, instead of shouting at JF, find him at Kinondoni HQ.
 
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Unadhani Chadema wangekuwa juu hata kuchukua nchi kwa nini?Kwa sababu ndo chama tishio ktk hii miaka kumi ya karibuni.Kwa nini?Uongozi shupavu wa CDM.Wa nani?MBOWE.
 
Kamanda Mbowe hongera sana.Uwezo wako wa kujenga hoja ninaukubali,ujasiri wako unatisha.Umesema mara nyingi sana tusikubali kujenga taifa la watu waoga na waliojaa hofu.Mungu akupe miaka mingi na nguvu za kuongoza chama chetu.
 
Tupo pamoja kamanda mkt mbowe! Chini yako magamba CCM yamechanganyikiwa.
 
Jembe la ukweli,TINGATINGA LA PEKEE MBOWE LIVE LONG ,KAMANDA WA ANGA CHINI YA UONGOZI WAKO CHADEMA IMEPATA SURA YA KITAIFA!
 
Kama sio juhudi za mbowe chadema ingekuwa wapi leo,WE LOVE YOU KAMANDA MBOWE HAPPY BIRTHDAY!
 
Back
Top Bottom