Jubilee ya miaka 50 ya mh. Freeman aikael Mbowe

Kwayu

JF-Expert Member
Nov 8, 2007
499
92
Makamanda na wapambanaji tunaomba tujumuike na kamanda Freeman Aikael Mbowe (MB) ambaye pia ni Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni ktl ibada ya kutoa sadaka ya shukurani kwa kufikisha miaka 50.

Ibada itafanyika ktk kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Usharika wa Nshara tarehe 11/12/2011 na baadae kwenye tafrija fupi itakayofanyika Nyumbani kwake Nshara.
 
Mungu amjalie afya njema,na kumuongezea kipindi kingine kirefu zaidi cha maisha.
 
mkuu umeniacha kidogo hapa ulikuwa unasema...................!!!!!!!!!!!!!!!!!!

nasema uongozi wa chadema katika hali ilopo sasa nchini kama tungepata kamanda halisi pale juu,ccm hawana lao kabisa!!!!kamanda wetu mbowe ana madhaifu mengi ya kiuongozi,tudiscuss hilo!!!!ccm kwa mazingira yaliyopo site hawana lao kama tutapata kamanda wa ukweli!!!!
 
Keep on waiting an angel to lead your party.....Chadema waachie wana Chadema wenyewe.
 
huna hoja wewe kwani wenye hoja hawaji kama ww ufanyavyo,unaposema huyu bwana aondoke ainisha basi anaondoka kwa sababu gani hapo ndio utaanza kujenga hoja

operation sangara+chama kukosa mtandao+kukoswa wanachama+migogoro ya kiuongozi pale juu kuanzia chacha wange!!!wakina zitto!!!ukanda!!!!!tudiscusss hayo tuone mapungufu yake na uongozi wa kamanda mbowe!!!!
 
nasema uongozi wa chadema katika hali ilopo sasa nchini kama tungepata kamanda halisi pale juu,ccm hawana lao kabisa!!!!kamanda wetu mbowe ana madhaifu mengi ya kiuongozi,tudiscuss hilo!!!!ccm kwa mazingira yaliyopo site hawana lao kama tutapata kamanda wa ukweli!!!!

Ni sawa kabisa maana mpaka sasa katiba iliyoko inaruhusu uhuru wa mawazo, ila hilo unalofikiri kuwa sahihi kwa sasa anzisha thread yake ili upate michango ya walio wengi, mwenzako kaanzisha thread na jubilee ya Mbowe, wewe usipindishe :A S 465:
 
operation sangara+chama kukosa mtandao+kukoswa wanachama+migogoro ya kiuongozi pale juu kuanzia chacha wange!!!wakina zitto!!!ukanda!!!!!tudiscusss hayo tuone mapungufu yake na uongozi wa kamanda mbowe!!!!

Wewe si mwana CDM it seems ni kibaraka wa Magamba kwa hyo ww kaa pembeni utizame chama jinsi kinavyozidi kusonnga mbele,hayo unayoyazungumzia ni mtizamo wako binafsi kwa hyo nawe ho ndio uwezo wako
 
Back
Top Bottom