Thanks. Mpike wali mwingi mimi nakula sahani 5.Zamani sanaa January nitakualika kwenye anniversary
USISAHAU, HATA WANANDOA NI WATOTO WA WATU WENGINE.Yakitokea mabaya kwa Joyce kuna wale watoto wataumia na kuathirika sana katika makuzi yao
Tuwatakie heri wala tusiwaombee mabaya
Fursha is a mental state (Emotions), can't only be felt and not be seen.
I'm pinpointing that Kama ana furaha basi anajua yeye na sio post wala picha zake zinazoweza kutufanya tu-feel kile anachoofeel.
Maisha ya binadamu ni kichaka kuna wachafu zaidi yake lakini ukiwakuta kanisani utadhani wameguswa na Roho Mtakatifu.Vijana hawana kinyaa! Karai limechota "uchafu" Tani ngapi, wewe Leo unaweka chakula ulie humo! Vijana muwe na kinyaa!
Kama Dida!?
Siyo yeye peke yake, ni wanawake wa kichagga wote wapo hivyo. Ukiona hayupo hivyo jua mume amemdhibiti tu ila chance ikipatikana, anapandaHapana, Dida yule ni mtu wa fursa...
Wakati Joyce is an alpha female, ana character ya kutaka kuwa juu ya wengine...aina hii ya wanawake huwa wanapata shida kwenye mahusiano na hata ndoa
Siyo yeye peke yake, ni wanawake wa kichagga wote wapo hivyo. Ukiona hayupo hivyo jua mume amemdhibiti tu ila chance ikipatikana, anapanda
Muishi nao kwa akiliHapana, Dida yule ni mtu wa fursa...
Wakati Joyce is an alpha female, ana character ya kutaka kuwa juu ya wengine...aina hii ya wanawake huwa wanapata shida kwenye mahusiano na hata ndoa
Siyo yeye peke yake, ni wanawake wa kichagga wote wapo hivyo. Ukiona hayupo hivyo jua mume amemdhibiti tu ila chance ikipatikana, anapanda
Upo sahihi...
Una hakika gani?Hiyo ni furaha ya kuigiza tu, hapo anataka ulimwengu ujue amepata mtu sahihi zaidi ya X wake.
Au mwenzetu ana hatimiliki?? Ya kwake peke yake🙈 🙈wewe unaweza kuta wenzio wanapita mchana na wewe usiku unapata flavor ileile
Most of those women kule TAMWA ni single moms. Akili kichwaniAnashauri wenzake wavunje ndoa huku yeye akiitafuta