Joyce Kiria aonekana mwenye furaha sana ndani ya penzi jipya baada ya ndoa zake mbili kuvunjika

Fursha is a mental state (Emotions), can only be felt and not be seen.
I'm pinpointing that Kama ana furaha basi anajua yeye na sio post wala picha zake zinazoweza kutufanya tu-feel kile anachoofeel.
 
Fursha is a mental state (Emotions), can't only be felt and not be seen.
I'm pinpointing that Kama ana furaha basi anajua yeye na sio post wala picha zake zinazoweza kutufanya tu-feel kile anachoofeel.

Joyce hanaga privacy

Sasa zamani alikua yeye binafsi na mapenzinyake ila sasa wako watoto ambao amewazaa yeye, na chochote kitakachomuathiri kitawaathiri zaidi watoto
 
Hapana, Dida yule ni mtu wa fursa...

Wakati Joyce is an alpha female, ana character ya kutaka kuwa juu ya wengine...aina hii ya wanawake huwa wanapata shida kwenye mahusiano na hata ndoa
Muishi nao kwa akili
Siyo yeye peke yake, ni wanawake wa kichagga wote wapo hivyo. Ukiona hayupo hivyo jua mume amemdhibiti tu ila chance ikipatikana, anapanda

Upo sahihi...

Tuhuma nzito

Wanaume wa kichaga na mlioowa wachaga hebu njooni mtuambie vile wake zenu wapo. Kuna tuhuma huku
 
Back
Top Bottom