akihojiwa baada ya mechi ya yanga na Jkt oljoro,bw joshua nassari(MB) ametamka wazi kuwa yeye ni mshabiki wa timu ya simba.
Source:SUNRISE RADIO

we unadhani kwa nini hii radio ilimuuliza hili swali?
ni taarifa tu.mengi yatakuja tarehe 5 may