GSM na Azam nani anadhamini timu nyingi kwenye NBC League?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,316
12,614
Azam anamiliki timu kwenye ligi ni mdhamini wa ligi kuu yote wakati GSM anadhamini timu za Yanga, Namungo, Coastal na Singida tu. Kwanini kuna watu wanataka kuonyesha kuwa GSM anainuisha yanga zaidi kwenye ligi kwa udhamini wa timu chache kwenye ligi?

Unapotaka kuhoji ushindi wa Yanga anza kwanza kuhoji matokeo ya Yanga dhidi ya Simba (5-1), KMC, Polisi, CR Belouzdad, JKT, Mediama, Zalan, TP Mazembe, Marumo, Africane, Marumo, na Prison.
 
azam
 
Watanzanua wengi ukiwemo mtoa mada ni vilazs sana kwa hojaza kijijga
Simba hawaamini kuwa timu yao kwa misimu 3 sasa ni mbovu kuliko ile ya Yanga. Wanatapatapa kwa kuuruka ukweli wa mambo. Zile goli 5 bado zimewavuruga hadi kesho. Benchika kaja na kupewa sifa nyingi kuliko anazopewa Mungu lakini bado pira kokoto limewaganda kama ruba, wakafa kwa prison ambayo haidhaminiwi na gsm.
 
wenye akili ni wawili, azam anadhamini ligi upande wa media tofautisha na udhamini wa gsm
Punguza ujinga... Kipindi Mo anamiliki timu ya African sport alikuwa haidhamini Simba?, Kipindi Mo anaidhamin Coast union hakuwa mdhamini wa Simba?. Vipi sportpesa hakudhamin/Hadhamini timu zaidi ya moja?.
 
Tofauti ya Azam na GSM, kua Mmoja anamwaga pesa za hamasa pindi Simba inapokutana na hizo timu zinazozaminiwa na. GSM

Angalia timu baada ya kucheza na Simba game zinazofata wanavyokua nyanya, juzi Tanzania Prison katepeta kwa mtibwa suger kapigwa Come back dani ya dk 2
 
Wanatapatapa, goli sio mchezo
 
Kama ingekuwa rahisi kulazimisha timu ifungwe kwakuwa unaidhamini wewe basi Azam FC ingekuwa inakuwa bingwa kila siku kwakuwa mliki wa Azam FC ndiye mmiliki wa Azam media pia inayodhamini ligi yote/timu zote.
 
Tofauti ya Azam na GSM, kua Mmoja anamwaga pesa za hamasa pindi Simba inapokutana na hizo timu zinazozaminiwa na. GSM

Angalia timu baada ya kucheza na Simba game zinazofata wanavyokua nyanya, juzi Tanzania Prison katepeta kwa mtibwa suger kapigwa Come back dani ya dk 2
Angalia kwanza saves alizofanya Diara kwenye mechi ya Yanga vs Namungo kuinusuru Yanga isifungwe hata goli moja, jamaa anajitoa kwa 150% kitu ambacho Manula hakifanyi.

View: https://www.youtube.com/watch?v=zi0024DReKo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom