JOSHUA NASARI karibu JamiiForums uongee na watanzania

Status
Not open for further replies.
stide kuna utoto huwa unanikatisha tamaa sana hapa JF hasa wa huyu mwenzetu,nina hakika kuna watu wanasita kuungana na sisi humu kwa hofu ya utoto huu, plz wabadilike la sivyo JF inaelekea kaburini kitu ambacho ni hatari kwa taifa
...mkuu kuwa mvumilivu hawa watu wasio na staha hata huku kwetu wapo,tumeenda shule ili tuweze kuyakabili mazingira na malimwengu,na ukisikia malimwengu ndo hawa binadam wasio na busara...
 
stide kuna utoto huwa unanikatisha tamaa sana hapa JF hasa wa huyu mwenzetu,nina hakika kuna watu wanasita kuungana na sisi humu kwa hofu ya utoto huu, plz wabadilike la sivyo JF inaelekea kaburini kitu ambacho ni hatari kwa taifa
Hakuna kukata tamaa mkuu, tuwaelimishe tu pengine watabadilika.
Huyu jamaa mi nashindwaga kumuelewa, sijui ulimbukeni!!? Jaribu kuperuzi post zake zimejaa matusi!!
Kiukweli Mods inabidi kuongeza ukari kidogo maana tutakosa watu wa muhimu jamvini kwasababu ya utoto wa namna hii!!
 
Wakuu hili jukwaa la siasa huwa ni gumu sana kulihimili. Kwa mantiki hiyo kumkaribisha mtu ni ngumu sana. Mwacheni kwa hiari yake atajiunga tu, la muhimu ni kumuombea ashinde huo Ubungo
 
Hamna banah anaweza hata kuingia kwenye siredi hata japo dakka tano tu
 
Joshua nassari cv. Amezaliwa Hospitali ya Nkoaranga Meru tar 8 jan 1985 Mtoto wa mchungaji Samwel Nassari.
ELIMU
SHULE YA MSINGI MLALA 1993-1999
SHULE YA SEKONDARI BAGAMOYO 2000-2003
HIGH SCHL TABORA BOYS 2004-2006
UDSM 2006-2009(SERA,MIPANGO NA UTAWALA)
TCDC, HARAKATI NA HAKI ZA WATOTO 2010.
UZOEFU KATIKA SIASA
MKURUGENZI TAASISI YA MAENDELEO YA JIMBO LA ARUSHA MJINI
MGOMBEA UBUNGE CHADEMA 2010
SPIKA WA BUNGE LA WANAFUNZI UDSM
MBUNGE; BUNGE KIVULI LA VIJANA LA UMOJA WA MATAIFA
MLEZI WA MATAWI YA CHADEMA MAKUMIRA UNIVERSITY. IAA,ARUSHA UNIVERSITY NA TUMAINI UNIVERSITY LUSHOTO.
UZOEFU WA KAZI
PROGRAM DIRECTOER-THE FOUNDATION FOR TOMMOROW[2009-2010]
 
Joshua nassari cv. Amezaliwa tar 8 jan 1985
amemaliza chuo kikuu udsm mwaka 2009,
amegombea ubunge mwaka 2010. Ameanzisha
foundation inayoitwa the foundation of
tommorow ambayo yeye ni program director...
Na cv nyingi kibao ambazo kwa umri wake huwezi zitegemea... Kijana jembe na anastahili
kupewa ubunge maana anaushawishi na
anaweza... Ukibahatika kumsikiliza msikilize...

Not enough, ebu jaribu kuipangilia vizuri if you know it ili kuleta maana Mkuu. Hizo ambazo watu hawawezi kuzitegemea ndio people they like to hear.
 
wew uwe unajua vitu vya kuweka sasa hapo umeweka nini au ndio ushabiki tuuuu, nasari tunampenda wote acha ushabiki wa *********
 
Nadhani jamaa hajaweka CV. Angeomba mwenye CV aiweke hapa ili tumfahamu
 
Joshua nassari cv. Amezaliwa tar 8 jan 1985
amemaliza chuo kikuu udsm mwaka 2009,
amegombea ubunge mwaka 2010. Ameanzisha
foundation inayoitwa the foundation of
tommorow ambayo yeye ni program director...
Na cv nyingi kibao ambazo kwa umri wake huwezi zitegemea... Kijana jembe na anastahili
kupewa ubunge maana anaushawishi na
anaweza... Ukibahatika kumsikiliza msikilize...
Nassary namfahamu vizur coz nimewah fanya nae kaz..anaweza he is confident, ana uwezo mkubwa wa kichanganua mambo and he is very good kujbu maswal ya papo kwa hapo..he is committed kwa kwel kwa watu wa meru..I give him my full support..ila apo kwenye kuanzisha foundation sio kwel coz iyo organization ni ya marekan and nassary ni program director
 
Joshua nassari cv. Amezaliwa tar 8 jan 1985
amemaliza chuo kikuu udsm mwaka 2009,
amegombea ubunge mwaka 2010. Ameanzisha
foundation inayoitwa the foundation of
tommorow ambayo yeye ni program director...
Na cv nyingi kibao ambazo kwa umri wake huwezi zitegemea... Kijana jembe na anastahili
kupewa ubunge maana anaushawishi na
anaweza... Ukibahatika kumsikiliza msikilize...

2000-2003 Bagamoyo sec school (div 1)
2004-2006 ________________
 
nassary namfahamu vizur coz nimewah fanya nae kaz..anaweza he is confident, ana uwezo mkubwa wa kichanganua mambo and he is very good kujbu maswal ya papo kwa hapo..he is committed kwa kwel kwa watu wa meru..i give him my full support..ila apo kwenye kuanzisha foundation sio kwel coz iyo organization ni ya marekan and nassary ni program director

huyu si nasikia huwa anakuwa majuu akisikia uchaguzi ndo anakuja. Msinimeze nimesikia tu manake mnaweza kunimeza mzimamzima kisa kutetea hata kile msichokijua vizuri. Nani anamtaka mtu anayetoka majuu kuja tu kugombea akishindwa ankimbilia majuu.
 
wew uwe unajua vitu vya kuweka sasa hapo umeweka nini au ndio ushabiki tuuuu, nasari tunampenda wote acha ushabiki wa *******

duu kweli kuna watu na viatu hapa jf na mod nao wana mapenz binafsi mim kwa kuandika tu neno ******** nilikula BAN ya mwezi mzima na mod anayejiita BUCHANAN .
 
Mambo ambayo joshua anajivunia ni kuhakikisha wazazi wasiokuwa na uwezo wanaenda shule foundation anayoisimamia imeweza kuwasomesha watoto wengi wa arumeru mashariki... Pia ni mtu ambaye anatumia muda mwingi kutembelea jamii na kuzungumza na vijana ikiwemo kuanzisha ligi za mpira zinazowakutanisha vijana kwa pamoja...
 
Joshua nassari cv. Amezaliwa tar 8 jan 1985
amemaliza chuo kikuu udsm mwaka 2009,
amegombea ubunge mwaka 2010. Ameanzisha
foundation inayoitwa the foundation of
tommorow ambayo yeye ni program director...
Na cv nyingi kibao ambazo kwa umri wake huwezi zitegemea... Kijana jembe na anastahili
kupewa ubunge maana anaushawishi na
anaweza... Ukibahatika kumsikiliza msikilize...

Jembe kwa kiingereza ni Hoe. Is he a 'hoe'? :lol:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom