JOSHUA NASARI karibu JamiiForums uongee na watanzania

Status
Not open for further replies.
rziky hizo ni propaganda na sio kweli.... Joshua Tupo naye kila siku kitaa... Kusafiri inatokea tu kutokana na Shughuli zake... Na kusafiri sio ishu au sio jambo la ajabu... Yeye ni Mzaliwa wa Kilinga amekulia Kilinga na shughuli zake ni kuwatumikia wana Arumeru... Je Sioi analolote la kujivunia? Mwenye CV za Sioi tunaomba atuwekee angalau tumjue kidogo... Maana mimi kukaa kote arumeru huyu jamaa nimeanza kumsikia kipindi hichi cha uchaguzi...
 
huyu si nasikia huwa anakuwa majuu akisikia uchaguzi ndo anakuja. Msinimeze nimesikia tu manake mnaweza kunimeza mzimamzima kisa kutetea hata kile msichokijua vizuri. Nani anamtaka mtu anayetoka majuu kuja tu kugombea akishindwa ankimbilia majuu.

Umesha ambiwa kua ni program director wa foundation ya wamarekani,unacholaumu ni nini kwa kusafiri kwake?omba wewe upewe huo u director nawe uwe unasafiri!maana ulicho onyesha ni wivu tu
 
wana chadema wenzangu naomba mnifahamishe joshua wa arumeru amepatikana vipi kwani si amehamia toka ccm wiki iliyopita,na akapitishwa kuwa mgombea wa chadema arumeru,hatuoni hili litaleta kutokuaminiana na wanachama wa muda mrufu,pia hili .linaweza kuingiza wanachama mamluki bungeni?
 
duu kweli kuna watu na viatu hapa jf na mod nao wana mapenz binafsi mim kwa kuandika tu neno MASABURI nilikula BAN ya mwezi mzima na mod anayejiita BUCHANAN .

Mkuu naomba uwe fair, ungegonga Report Post/Abuse ili hatua zichukuliwe! Badala ya kuripoti umekimbilia kulaumu!
 
wana chadema wenzangu naomba mnifahamishe joshua wa arumeru amepatikana vipi kwani si amehamia toka ccm wiki iliyopita,na akapitishwa kuwa mgombea wa chadema arumeru,hatuoni hili litaleta kutokuaminiana na wanachama wa muda mrufu,pia hili .linaweza kuingiza wanachama mamluki bungeni?[/QUOTE
Jitaidi kufuatilia zaidi sidhano Joshua unaemuongelea ndie.. Au ushapiga kitu cha ....
 
duu kweli kuna watu na viatu hapa jf na mod nao wana mapenz binafsi mim kwa kuandika tu neno ********* nilikula BAN ya mwezi mzima na mod anayejiita BUCHANAN .

Mkuu naomba uwe fair, ungegonga Report Post/Abuse ili hatua zichukuliwe! Badala ya kuripoti umekimbilia kulaumu!
 
wana chadema wenzangu naomba mnifahamishe joshua wa arumeru amepatikana vipi kwani si amehamia toka ccm wiki iliyopita,na akapitishwa kuwa mgombea wa chadema arumeru,hatuoni hili litaleta kutokuaminiana na wanachama wa muda mrufu,pia hili .linaweza kuingiza wanachama mamluki bungeni?

yaani we ni Narung'ombe
 
joshua aligombea ubunge jimbo hilo hata mwaka 2010
 
wana chadema wenzangu naomba mnifahamishe joshua wa arumeru amepatikana vipi kwani si amehamia toka ccm wiki iliyopita,na akapitishwa kuwa mgombea wa chadema arumeru,hatuoni hili litaleta kutokuaminiana na wanachama wa muda mrufu,pia hili .linaweza kuingiza wanachama mamluki bungeni?

Ni kweli unamfananisha Joshua Nasari na Mwalimu Anthony Musani ama unaleta utani?
 
Jamani mwenye cv ya naoa...oh sorry sioi..atuwekee humu tumfaham vizuri manake navoskia jamaa hawezi jieleza full kiswaili. Kinampiga chenga kishenzi
 
wana chadema wenzangu naomba mnifahamishe joshua wa arumeru amepatikana vipi kwani si amehamia toka ccm wiki iliyopita,na akapitishwa kuwa mgombea wa chadema arumeru,hatuoni hili litaleta kutokuaminiana na wanachama wa muda mrufu,pia hili .linaweza kuingiza wanachama mamluki bungeni?

Next tym jipange,unamjua kwel kamanda Joshua Nassari? Acha kukurupuka
 
He has very little experience to effect any profound changes. What expectations would you have off a person whose CV does not even fill a single page. I suggest he should intensely focus on his current job so as to gather adequate experience plus skills before seriously engaging in politics.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom