Josephine Mshumbushi: CHADEMA ni mali ya Mtei, kimejengwa kwa misingi ya unafiki na nidhamu ya woga

Mushumbusi hana tofauti na Gigy Money, kazi yao ni kusaka umaarufu wa kipumbavu..
 
Ana wasi wasi kazi ya Ccm haina mafao na waziri au ubalozi km bado ni ndoto. Kwa ujumla ndio anaamka kujitafakari wanafanya kazi gani na faida gani. Sasa anajipa moyo , anashindana na shoza na wengine kupata mapenzi kiduchu ya ccm
 
Ameandika Josephine Mshumbushi mke wa Dr.W.Slaa katika ukurasa wake rasmi wa Facebook

Kwa Vijana wa CHADEMA!

Salaam,

Miaka 15,iliyopita sikuwahi kujua watoto wangu wataishi kuyasoma maandiko yangu nakunihoji au kuniuliza maswali.
Leo hii inatokea.

Ngoja niweke kumbukumbu sahihi!!!!

Kitendo cha kuwaita watu wasaliti ni kwakuwa mtu umeshindwa hoja ya kumshawishi akubaliane na wewe.

(Don't let personal hangups sidetrack the negotiations)

Na hili ndilo limekuwa anguko la CHADEMA toka nilipokijua chama hicho!
Mawazo au maamuzi ya mtu hayahojiwi.

Kwanini unaitwa mtu mzima!!!!!
Ni kwa kigezo kwamba sasa unaweza kufanya maamuzi yako bila shinikizo.

Maamuzi ya mtu lazima yaheshimiwe japo mengine yamekuwa magumu kuyakubali.

"In one of my job interview I was asked,how do you feel when you are asked to fire somebody"

.........very sad,however decisions have to be made for things to move foward."

Ninyi Vijana Hakuna anayeijua CHADEMA, tena Leo ambapo kila mtu ni msemaji.
Anayeijua CHADEMA ni mtu mmoja tu, aliyebeba maono na kukianzisha (Mzee Mtei)

"what the transitions follows non of my business..."

Mimi na wewe ni ...
Ndiyo maana ndani ya CHADEMA mtu mmoja tu anaweza kuuwa chama...

Tofauti na CCM.
Mwl hakuianzisha TANU kama taasisi, Bali lilikuwa ni kundi kubwa la watu, na likamchagua kama kiongozi kwa kuwa he has a commanding power element.

Heshima na nidhamu iliendelea kujengwa mpaka Leo kwa viongozi wote.
Huwezi na Hakuna maandiko ya mtu kuitwa msaliti ndani ya CCM. Kwakuwa ni kundi kubwa lililojengwa kwa hulka ya kuheshimu mawazo ya mtu na kuyapa mda yapite.

CHADEMA kimejengwa kwa nidhamu ya woga.Ndiyo Maana wengi waliamini kwa kujiweka karibu na wakubwa ndiyo fursa yao yakuonekana na kufikia malengo.

Mfano kila mtu anafanya jambo awe recognized na Mbowe na enzi hizo na Dr Slaa pia.

Tabia hii imeendelea kuzaa majungu na hofu ya kutojiamini.
Watu wenye mawazo Yao wameshindwa kuyatoa kwa kuhofu kutosikilizwa.
Lakini hata wale wenye mtazamo tofauti wameshindwa kuisimamia wasipoteze nafasi zao.

(Haya yanaishi ndani ya vijana wengi leo)
Ndiyo maana tunaona post nyingi leo ili mradi mtu kaandika kitu. Mbaya zaidi Hakuna mwongozo wa Nini kiandikwe wapi na kwa wakati gani.

Hivyo maamuzi tuliyofanya.

1.We trusted on our strengh.
2.We wanted to end relationship with the problem.

Enyi wafia chama ni vema mkatambua hamjai hata kwenye kiatu changu, nimetengeneza historia yangu, na bado naitengeneza historia yangu.

Yote mnayofanya yanapita ila kitendo cha kumkataa mtu tuliyemuita fisadi kitadumu Milele.

And that is our strength .
***
MNAFIKI NAMBA MOJA NI WEWE/ ULISHA SET MIND YAKO ETI....FIRST LADY...MAFIIIIIII.
 
...CHADEMA ni mali ya
wananchi,CHADEMA si mali ya
Freeman Mbowe,Edwin
Mtei,Salimu Mwalimu wala si ya
Edward Lowassa na Fredrick
Sumaye,CHADEMA ni chama cha
wananchi na kinamilikiwa na
wananchi na hakuna yeyote
mwenye uwezo wa kuwa na
hatimilili cha kukimiliki kama
shamba lake.Ukipenda
kuzungumza upuuzi usisahau siku
ulipozungumzia upuuzi wako
huo...Wapo baadhi ya wapuuzi
wanazungumza maneno ya
upuuzi,"ati CHADEMA ni mali ya
Mbowe,ohhh!mara saccos ya
Lowassa."Mimi nawasihi upuuzi
huu muuache.CHADEMA ni mali
ya WANANCHI na wananchi ndiyo
wanachama wake...
...Naipenda CHADEMA...Chama
cha wananchi makini,kinachoo
ngozwa na watu makini...
 
kwa nini hakusema wakati Dr slaa akiwa katibu mkuu? huu unafiki hautaisha. mbona ndani ya ccm Nape kama katibu mwenezi aliwahi kumkataa chenge? mbona leo chenge ni mwenyekiti wa bunge? na wote wanafanya kazi pamoja? kwenye siasa hakuna uadui wa kudumu bali maslahi binafsi...
 
Ameandika Josephine Mshumbushi mke wa Dr.W.Slaa katika ukurasa wake rasmi wa Facebook

Kwa Vijana wa CHADEMA!

Salaam,

Miaka 15,iliyopita sikuwahi kujua watoto wangu wataishi kuyasoma maandiko yangu nakunihoji au kuniuliza maswali.
Leo hii inatokea.

Ngoja niweke kumbukumbu sahihi!!!!

Kitendo cha kuwaita watu wasaliti ni kwakuwa mtu umeshindwa hoja ya kumshawishi akubaliane na wewe.

(Don't let personal hangups sidetrack the negotiations)

Na hili ndilo limekuwa anguko la CHADEMA toka nilipokijua chama hicho!
Mawazo au maamuzi ya mtu hayahojiwi.

Kwanini unaitwa mtu mzima!!!!!
Ni kwa kigezo kwamba sasa unaweza kufanya maamuzi yako bila shinikizo.

Maamuzi ya mtu lazima yaheshimiwe japo mengine yamekuwa magumu kuyakubali.

"In one of my job interview I was asked,how do you feel when you are asked to fire somebody"

.........very sad,however decisions have to be made for things to move foward."

Ninyi Vijana Hakuna anayeijua CHADEMA, tena Leo ambapo kila mtu ni msemaji.
Anayeijua CHADEMA ni mtu mmoja tu, aliyebeba maono na kukianzisha (Mzee Mtei)

"what the transitions follows non of my business..."

Mimi na wewe ni ...
Ndiyo maana ndani ya CHADEMA mtu mmoja tu anaweza kuuwa chama...

Tofauti na CCM.
Mwl hakuianzisha TANU kama taasisi, Bali lilikuwa ni kundi kubwa la watu, na likamchagua kama kiongozi kwa kuwa he has a commanding power element.

Heshima na nidhamu iliendelea kujengwa mpaka Leo kwa viongozi wote.
Huwezi na Hakuna maandiko ya mtu kuitwa msaliti ndani ya CCM. Kwakuwa ni kundi kubwa lililojengwa kwa hulka ya kuheshimu mawazo ya mtu na kuyapa mda yapite.

CHADEMA kimejengwa kwa nidhamu ya woga.Ndiyo Maana wengi waliamini kwa kujiweka karibu na wakubwa ndiyo fursa yao yakuonekana na kufikia malengo.

Mfano kila mtu anafanya jambo awe recognized na Mbowe na enzi hizo na Dr Slaa pia.

Tabia hii imeendelea kuzaa majungu na hofu ya kutojiamini.
Watu wenye mawazo Yao wameshindwa kuyatoa kwa kuhofu kutosikilizwa.
Lakini hata wale wenye mtazamo tofauti wameshindwa kuisimamia wasipoteze nafasi zao.

(Haya yanaishi ndani ya vijana wengi leo)
Ndiyo maana tunaona post nyingi leo ili mradi mtu kaandika kitu. Mbaya zaidi Hakuna mwongozo wa Nini kiandikwe wapi na kwa wakati gani.

Hivyo maamuzi tuliyofanya.

1.We trusted on our strengh.
2.We wanted to end relationship with the problem.

Enyi wafia chama ni vema mkatambua hamjai hata kwenye kiatu changu, nimetengeneza historia yangu, na bado naitengeneza historia yangu.

Yote mnayofanya yanapita ila kitendo cha kumkataa mtu tuliyemuita fisadi kitadumu Milele.

CCM haiwezi kugeuka gafla na kuwa Chama imara, kizuri, kwa sababu ya udhaifu wa Chadema ambao mwandishi wa habari hii amebainisha. Inawezekana kwamba CCM napo kuna udhaifu mkubwa sana, lakini kwa sababu ni chama tawala watu wengi wako reserved kwa ajili ya kuchunga maslahi yao. Wanaogopopa kuwaudhi wenye madaraka kama watajitokeza hadharani na kukisahihisha Chama.

CHADEMA haiwezi kufa kwa Dr Slaa kujiunga na ACT, Alitumiwa na Magamba ktk Uchaguzi Mkuu bila mafanikio, itakuwa kwa ACT ?.

Mama huyu mtoa hoja namshauri aendelee kula mhogo huko Ugaibuni, muda wake umeshapita, aache wenye nia ya kujenga Chama wafanye kazi yao.
 
Safi sana vijana wa lumumba mlokuwa masaki kipindi cha uchaguzi mmea za kuibuka tena.
Sheria ya mitandao haiwahusi ila Magu kawagomea ukuu wa wilaya,baada ya JK kuwaombea
 
Nahisi huyu mama sasa hivi kawa Prof!!
Anatakiwa kujua kuwa hakuna chama ambacho kitasajiliwa hapa nchini bila kupeleka katiba yake kwa MSAJILI WA VYANA na kupitiswa. Nafikiri ameona nyuma ya muda kabla chama hakija sajiliwa, vinginevyo asingesema kanakwamba hajui utaratibu wa kusajili vyama vya kisiasa. Huyo sio wa kuhangaika naye maana elimu yake kaamua kuiweka pembeni na kutuma huu umbea.
 
Hawa watoto wa Voda fasta ,wamezaliwa 1999, wakasoma voda fasta zile QT -Wakajiita wanavyuo kumbe walipewa tu majengo ya Chuo,sasa wanajisahau
 
We ni mfia chama so huwezi muelewa mama,,ila wajanja tumemuelewa,wewe chadema umeijua juzijuzi tu
Mama kwako wewe, kwangu mimi huyo ni dada Delilah. Pia mimi ni mwanamageuzi toka mwaka 1995, sijawahi kuwa mwanachama wa chama cha siasa, na sitarajii. Ila naunga mkono chama chenye mawazo mbadala ili kuleta ufanisi katika siasa za nchi zetu.

Wakati mwingine, nenda na hoja-sio mtoa hoja.
 
Back
Top Bottom