Walifika kwa muda muafaka sema tu ni ile mapokez ya Jana yamewatishaLeo priority ilikiwa watu wa madaraka!! Leo tunaondoka saa 12 na nusu nyumbani tumefika ofisini saa 3 asubuhi.
Unless CDM na kafara wao wameondoka makao makuu saa 11 alfajiri ndiyo wangewahi shighuli hoi.
Siwalaumu, lakini wangepewa usindikizaji wa vyomb6vya usalama wangewahi tu.
Walitakiwa may be wafike saa 12 asubuhi...Walifika kwa muda muafaka sema tu ni ile mapokez ya Jana yamewatisha
Reference ni lowasa kuhani msiba kilimanjaro. Rais alikuwa kikwete, mwaka 2015 na hapo ccm walikuwa washamchinja kwenye kamati kihuni "wajumbe hawakusita kuimba tuna imani na lowasa". Hivyo huku nje walikuwa wana tabia ya kuzuia shangwe na mafuriko.Hapana sidhan kama hio kitu inamake sense mkuu. Ni kujishtukia tu si umeona lema kaanza kujishtukia kisa lissu hajapokelewa kwa mabomu wala mikiki ya polisi. Wangewahi tungefahamu huo ukweli wenyewe.
Mungu atusaidie amuondoe na yesu wa chatto tuWalitakiwa may be wafike saa 12 asubuhi...
Siasa za fitna...wataondoka mmoja mmoja...wote wakandamizaji wa demokrasia.
Ngoja wakimaliza mazishi, pengine tutang'amua lema alikuwa anamaanisha niniHapana sidhan kama hio kitu inamake sense mkuu. Ni kujishtukia tu si umeona lema kaanza kujishtukia kisa lissu hajapokelewa kwa mabomu wala mikiki ya polisi. Wangewahi tungefahamu huo ukweli wenyewe.
Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Mbona umepanic namna hii comrade?Mzee wa mahaba na chadema leo umejitoa ufahamu hizi siasa zenu ndio zinazowaharibu nakuonekana Ni kikundi Cha wahuni mbele za watu makini.Binafsi namshukuru Mungu sijawa kwenye ushabiki wa vyama venu hiv vya kipuuzi.
Mkuu Hata wewe unaingizwa Chaka na MATAGIO?Yees protokali lazima ifatwe
Kwa kutumia hiyo post FAKE ya Jongwe, andishi lako lote limekosa maana. Kwa kuwa barua ya Chadema imeonyesha musa ambao walikuwa wanatakiwa kwa mujibu wa ratiba, hebu tuwekee ratiba ya msemaji wa serikali hapa!Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Siyo lazima kwa raia, kwa viongozi ni wajibu,ni lazima.Kwanza tuwashukuru sana kwa hata huo MOYO wa kujaribu kwenda huko, maana siyo lazima
Siyo lazima kwa raia, kwa viongozi ni wajibu,ni lazima.
Mbumbumbu mzungu wa reli.Hakuna kitu kama hicho wewe gamba, sasa mbona hamjawafanya chochote zaidi ya kuruka ruka tu na kupiga majungu hapa jf?
Mbumbumbu mzungu wa reli.
Haukuelewa nilichomaanisha maskini!.
Linapokuja suala la kitaifa, viongozi wote wa kitaifa wakiwemo wabunge na wanasiasa, wanao wajibu wa kuwajibika bila kujali itikadi za vyama, ni tofauti na raia wasiokuwa viongozi.
Ulisoma popote nimesema sisiem ama chadema'apo?
Me siyo mshabiki wa magwanda wala magamba.
Account fake hii imedukuliwa na tayari lema g ameshatoa tahadhari ili watu wasije wakalizwa.Leo, ilikuwa ni siku ya kuuaga Kitaifa mwili wa Rais wa Awamu ya 3, Benjamin Mkapa katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar na viongozi mbalimbali walikuwa wakienda kutoa salamu zao za mwisho
Viongozi wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao Freeman Mbowe walienda uwanjani hapo na baadaye kudai kuwa walizuiwa kuingia Uwanjani kwa ajili ya kuuaga mwili wa Mkapa
Katika Ufafanuzi wao CHADEMA huku wakiitaka Serikali itoe ufafanuzi kwa kuzuiwa kwao wamedai wao wamefuata ratiba waliyopelekewa ikionesha tarehe, muda, siku tukio na muhusika
Hata hivyo, Jana Msemaji wa Serikali aliweka bayana ratiba ya kufika uwanjani hapo ambapo Serikali iliwataka Viongozi wote wa Kitaifa na Viongozi wa Kisiasa kufika katika Uwanja wa Karimjee na kuacha magari yao hapo kukiwa na gari maalum la kuwapeleka uwanjani ambapo la mwisho liliondoka saa 1:30 asubuhi
Aitoe wapi zaidi ya mikurupuko tu ya kuagizwa na ChakubangaKwa kutumia hiyo post FAKE ya Jongwe, andishi lako lote limekosa maana. Kwa kuwa barua ya Chadema imeonyesha musa ambao walikuwa wanatakiwa kwa mujibu wa ratiba, hebu tuwekee ratiba ya msemaji wa serikali hapa!