ha ha ha hv huyu ambaye huwa anatoa maagizo ya wabunge wa chadema na makada kukamatwa ni nani hyu tena mwenyewe uwelew mdogo sana hv ccm wana matatizo gani?
we acha upumbavu....mitoto iliyopatikana kwenye pombe za kienyeji utaitambua kwa mitusi yao.
pumbavu zako
2. Neno hilo wanalotuhumu kuwa ni lugha ya matusi, si tusi kwa sheria za nchi yetu, bali linaweza kutumika kwa vitu au mtu anayefanya matendo au kusema maneno yanayostahili kuitwa hivyo.
Hivi hawa polisi wanaelewa sheria au wamekariri sheria au ndio kutumika kisiasa?!
Huyo ndiyo Tundu Lissu.
Mbona huyu mnaesema ni kichaa anahoja kiasi hiki???????
Mbona huyu mnaesema ni kichaa anahoja kiasi hiki???????
Mtu akitaka asiambiwe hilo neno inabidi awe anapima kauli zake kabla ya kuzitamka. Ukifanya jambo au ukitamka kauli za "kipumbavu" watu watakuita "mpumbavu". Kwa hiyo hilo neno halitolewi tu bila sababu, mbona ni rahisi tu kuelewa?Ebu jaribu kumwambia mzazi wako au asubuhi ukiingia ofisini mpe hiyo salamu boss wako.
"Bora Dr Slaa awe rais kuliko Tundu Lissu kuwa mbunge"-JK
Mnayakumbuka maneno ya Rais Dhaifu Kiwete kuhusu Tundu Lissu?
Tukumbushane: Alisema hivi,ninanukuu''ni afadhali kuwa na kina Dr. Slaa 10 Bungeni kuliko kuwa na Tundu Lissu 1 Bungeni''.Je huyu Rais dhaifu aliogopa nini kwa Tundu Lissu?
Tafakari.