Elections 2010 Joseph mbilinyi ( mr ii ) awakuna wananchi wa jimbo la mbeya katika mdahalo.

Kwa nini wewe mwenyewe usiifungue hiyo tovuti na kutupunguzia adha za kila mmoja wetu kuifungua?
 
Nilikuwa huko nilibahatika kuhudhuria moja ya mikutano yake ya kampeni.
Mpesya muda wake wa kurudi kufundisha hakika umefika, kijana anatisha sana.
 
hahaa mbona sijaona mgombea wa chichiemu..aaah kumbe wamekatazwa na makamba
 
Sugu anafanya vizuri sana maeneo ya mjini lakini ukabila na ujadi uliojizatiti maeneo ya pembezoni mwa mji unaweza ukamwangusha na kumpa ushindi Mpesya.
 
Back
Top Bottom