Jopo la vigogo wa CCM lamwekea kambi Dk Slaa

Kwahiyo aachwe awe "Mgombee pekee" mpaka milele..don't bring us back to the dooms days...lazima apate upinzani tusikie other side of him...
Hagombei yeye kwenye ngazi hii ya serikali za mitaa. CCM wanachofanya kumdhoofisha Dr Slaa kuanzia uchaguzi huu ili mwakani iwe rahisi kumwondoa. Jaribu kufikiria Bunge letu bila mtu kama Dr Slaa.
 
Nimetoa huko Karatu.. Kwani na wewe upo wapi?? au ndio unapiga kambi huko??kweli sisi Watanzania ni watu hatari sana
 
Hagombei yeye kwenye ngazi hii ya serikali za mitaa. CCM wanachofanya kumdhoofisha Dr Slaa kuanzia uchaguzi huu ili mwakani iwe rahisi kumwondoa. Jaribu kufikiria Bunge letu bila mtu kama Dr Slaa.
Ndiyo siasa za upinzani ambazo "Sote tuliandamana mara nyingi zirudi Tanzania" Good Slaa na chama chake wapambane waking'olewa kikatiba ni sawa ..kwasababu hatuwezi kuwazuia CCM wasiweke kambi huko wala CUF hatuwezi slaa apambane..
 
nimeisikia hiyo ila mi naona wanapoteza muda tu...Dr.Slaa is a heavyweight politician hawamuwezi

Mafioso si ajabu wanapanga mikakati hata ya kuiba kura. Na CCM wana sifa hii ya kuiba kura...wenyewe wanasema "Mbinu zetu". Wanaweza kumwaga mabilioni hapo Karatu kwa hongo za kila namna ali mradi tu wamuangushe shujaa wa Watanzania.
 
Shaka ondoa hawamuwezi hata kidogo hizo ni pesa zina rudi kwa wenyewe wacha wazitoe karatu si wanafiki kama watu wa dar pamoja na kampeni zote waliichagua ccm! wakazidiwa na wakulima wa karatu kwa kujua haki zao za msingi na kuchagua kilicho bora Dr Slaa mutu ya watu, asanteni sana wana karatu wembe ni huo huo
 
Wanataka nini CCM? Najua wananchi hupiga kura kumpata mtu atakayewawakilisha vyema ndani ya nyumba ya waheshimiwa kule Dodoma, sasa sijaona mapungufu ya Dr. Slaa ambayo yaweza kuwafanya wananchi wake wakese imani naye. Hakika yeye bado ni Heavyweight Politician katika Tanzania. Hata kama angepelekwa nje ya jimbo lake, bado angetikisa tu na kuibuka mshindi. Hivyo, CCM kwa sababu ni chama cha Siasa waachwe wafanya wanachofanya maana mtu kama mimi naamini hiyo ni mojawapo ya demokrasia. Lakini wasitumia njia chafu yeyote katika ujaguzi ujao. Mungu ambariki Dr. Slaa kwa niaba ya watanzania wote na wanakaratu.
Ameni!!
 
Tatizo sio kambi wala hela ,tatizo ni wananchi wenyewe wa jimbo hilo,kama wameamua kula ela ya CCM waachwe waitafune na wakipewa iyo ela kama ndio hongo waowakaratu waipokee na kuila yote bila ya kusaza na kama kuna mtu ajamaliza kujenga basi azipokee hizo hela kutoka kwa CCM na kumalizia jengo lake ,cha muhimu ni kuhakikisha anaihifadhi shahada yake ya kupigia kura na kuhakikisha kuwa haiuziki kwa bei yeyote ile hilo ndio jambo muhimu kwa kila raia,na makutano ni kwenye kisanduku cha kupigia kura ambapo ndipo atakapokwenda kuiliza CCM na kuwawacha wakilia mdomo juu kama jibwa koko.

Mwananchi aliamua kuiangusha CCM hutumia shahada yake katika sanduku la kura baada ya kula hela ya CCM na si vinginevyo,mwananchi akishaamua kuwa CCM basi hapo ilipofikia na haina nafasi tena katika moyo wake kupigiwa kura ,huo ni uamuzi ambao umefikiwa na wananchi wa Pemba na Zanzibar kwa ujumla ,tunachokiona sasa ni wingi wa majeshi na mapolisi wakishirikiana na usalama wa Taifa katika wizi ndipo wanapoishia CCM katika kutafuta ushindi.

Huko mikoani mkiona bado CCM inapeleka maofisa wake kuweka kambi basi mjue mwananchi bado analegalega katika kuikosesha nafasi CCM ndani ya moyo wake ila mkiona CCM inapeleka majeshi na polisi hapo mtambue kuwa sasa mambo ni magumu kwa CCM.
 
Mwiba, umenena, the more harder they try the more desperate they are. Lakini naomba nikumbushe CCM kuwa mabadiliko yanaweza kutoke overnight, wanaweza kushangaa how fast change will come.....
 
wanaamini kujaribu si kushindwa waache wajaribu halafu washindwe......ccm wamefulia wange solve kwanza mpasuko mkubwa uliopo kwenye chama.........
 
demopkrasia sawa lakini mchezo mzhafu ndio tunao upinga....ccm wameenda kuwarubuni wanaarusha.....kazi kwao kuchambua mchele yaani slaa na pumba yaani ccm..........tumewachoka!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wanataka nini CCM? Najua wananchi hupiga kura kumpata mtu atakayewawakilisha vyema ndani ya nyumba ya waheshimiwa kule Dodoma, sasa sijaona mapungufu ya Dr. Slaa ambayo yaweza kuwafanya wananchi wake wakese imani naye. Hakika yeye bado ni Heavyweight Politician katika Tanzania. Hata kama angepelekwa nje ya jimbo lake, bado angetikisa tu na kuibuka mshindi. Hivyo, CCM kwa sababu ni chama cha Siasa waachwe wafanya wanachofanya maana mtu kama mimi naamini hiyo ni mojawapo ya demokrasia. Lakini wasitumia njia chafu yeyote katika ujaguzi ujao. Mungu ambariki Dr. Slaa kwa niaba ya watanzania wote na wanakaratu.
Ameni!!
 
kwa keli ccm bila slaa isingekuwa hivi ilivyo...slaa kazaliwa wapambanaji wa ufisadi,slaa amekitetemesha chama na serikali mpaka baraza la mawaziri lilivunjwa....pamoja na kujua ukweli wote huu lakini bado wanamtolea macho eti kwa nini anasababisha wananhi kujua jinsi ccm inavyo waibia.....kuna uzalendo wa kweli wa kitaifa hapa? ingekuwa nchi za watu angeingizwa kwenye system ya uongozi ili asaidia panapo vuja...............wamefulia
 
Watu wote makini wanataka serikali makini na vyama vya upinzani makini katika taifa la Tanzania
 
Dr slaa aina ya wabunge wakuikomboa Tanzania huru.

Hivi ukonga ipo mkoa ganii wa Tanzania? inaonekana mwamko huko hakuna kabisaaa.
 
Mafioso si ajabu wanapanga mikakati hata ya kuiba kura. Na CCM wana sifa hii ya kuiba kura...wenyewe wanasema "Mbinu zetu". Wanaweza kumwaga mabilioni hapo Karatu kwa hongo za kila namna ali mradi tu wamuangushe shujaa wa Watanzania.

Kwa sasa haiwezekani CCM kutumia mbinu yoyote kumng'oa Dr. Slaa pale Karatu kwani amewashtukia. Ndiyo sababu Jumapili alikuwa katika kanisa moja la kiroho pale ubungo kwa mchungaji Gwajima tena kusudi lake kubwa lililomlete ni kuliomba kanisa lipige majeshi ya maombi kwa Mungu ili rushwa, uchawi AU KUIBA KURA visiweze kuondoa huduma yake bungeni ambayo ni faraja kubwa kwa wanyonge wa inci hii. MUNGU WA MBINGUNI ANACHUKIA RUSHWA, UCHAWI NA WIZI na sisi pale kanisani tutasimama imara kusema na Mungu aitetee sheria yake ili hila zao zote zishindwe
 
kwa sasa haiwezekani ccm kutumia mbinu yoyote kumng'oa dr. Slaa pale karatu kwani amewashtukia. Ndiyo sababu jumapili alikuwa katika kanisa moja la kiroho pale ubungo kwa mchungaji gwajima tena kusudi lake kubwa lililomlete ni kuliomba kanisa lipige majeshi ya maombi kwa mungu ili rushwa, uchawi au kuiba kura visiweze kuondoa huduma yake bungeni ambayo ni faraja kubwa kwa wanyonge wa inci hii. Mungu wa mbinguni anachukia rushwa, uchawi na wizi na sisi pale kanisani tutasimama imara kusema na mungu aitetee sheria yake ili hila zao zote zishindwe

amina mtumishi
 
"Tuna imani tukiwa na viongozi wa mitaa na vijiji tutakuwa tumepiga hatua moja muhimu kuelekea kutwaa Jimbo la Karatu," alisema kiongozi huyo.
Hawa Mafisadi wananichefua sana, wanaacha kutekeleza ilani yao ya uchaguzi ya maisha bora kwa kila mtanzania wanahangaika na Dr. Slaa. Eee Mola tupe hekima na ufahamu ili tuweze kuwabwaga mafisadi wote 2010.
 
Hivi kuna mwana-CCM au Mtanzania yeyote asiyeona umuhimu wa Dr. Slaa kuwa Mbunge?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom