Jokes kuhusiana na iman za dini zetu

sasa mnakoelekea ndo mbaya zaidi mana mmeshanza kujadili dini
 
Ze komedy wangekua wanatumia wimbo wa kaswida kuitroduce kipindi, TBC ingeisha lipuliwa siku nyiiingi.

and thats it wanajua watafanya utan koote lakini sio kwenye uislam and that is how it supposed to be hata kwenye ukiristo
 
Aaaaah, unanikumbusha maandiko yanasema:-

Na ithibitike leo Mungu wa kweli ni nani (mwache ajitetee na kujidhihirisha mwenyewe)
 
acha uoga exellent say something au ndo unaogopa ban
mkuu ni jinsi mtu alivoileta hiyo post,kuna post zingine za kidini unaona ni sawa tu,but unakuta zingine zinakera...ila sio vizuri kupost jokes about religion
 
Sijui kwa nini,tunapotaniwa sisi tunachukia sana,lakini angalia Ze comedy,hata filamu,mwislamu anaigiza mch feki,wakristo kimya,bakwata wanatoa matamko ya ajabu ajabu,wakristo kimya,ngoja mwislamu aguswe kidogo,tunapiga kelele mpaka bac,UKITAKA KULA KUBALI KULIWA!
 
Acha kuwasifu. Hawa hawaoni kama dini za wenzao ni dini. Ndio maana wanawaita wasio waislamu "Kafir", a derogatory term to accept!!!

Mbona wakatoliki wanawaita madhehebu mengine hivyo hivyo yaani makafir,ila tu wanatumia neno la kizungu protestant,au hujui protestant ni kizungu kiarabu kafir na kiswahili ni mpingaji
 
and thats it wanajua watafanya utan koote lakini sio kwenye uislam and that is how it supposed to be hata kwenye ukiristo
Mngeanza na ile picha iliyoenea dunian kote kuwa ni picha ya yesu,na watu wanamini kuwa ni picha ya yesu real,by the way ni ya muitaliano,while jesus was not italian
 
Kwanini ushindane na wasio na elimu na waliokosa maarifa? Kumbuka hawa wenzetu kwasababu ya inferiority complex yao ndio inawafanya watumie mabavu. Kwetu sisi busara zinatosha

Ninyi ndo mmekosa maarifa,mkayaacha ya taurat injil na zaburi mkakumbatia utamaduni wa Warumi,kama kuabudu sunday badala ya jumamosi
 
...kukemea mtu yeyote anayepost jokes kuhusiana na iman za kidini

Hakunaga utani kwenye suala linalogusa imani hata siku moja..

Let's be serious on religious matters...mtu akidhihaki/akitania dini yako mkemee palepale ili tuheshimiane..

Unajua ni wanagapi walikufa wakitetea dini yako(Ukristo/Uislamu)? Halafu leo hii unaachia non-sensors waichezee...?
 
Acha kuwasifu. Hawa hawaoni kama dini za wenzao ni dini. Ndio maana wanawaita wasio waislamu "Kafir", a derogatory term to accept!!!
Sikubaliani kidogo tu wazo lako kwani kuna wakati hata wao wanawathamini "makafiri" kuliko waislamu wenzao. Angalia msemo huu:
"Kafiri akufaaye si mwislamu asiyekufaa" (kmy: ni bora kafiri akufaaye kuliko muislamu asiyekufaa)
 
mwingine sio utanui kwa mfano waislamu kula nguruwe na mauzo ya nguruwe kupungua kipindi cha mfungo wa waislamu ni ukweli mtupu...............
 
dah kazi kwel kwel kumbe nimeamsha hisia zilizolala...I wish ningekua admin niifute hii topic mambo yabaki kama yalivyo...
 
mwingine sio utanui kwa mfano waislamu kula nguruwe na mauzo ya nguruwe kupungua kipindi cha mfungo wa waislamu ni ukweli mtupu...............
mbona unapiga ikulu? utulivu F wewe. kaka umeshindwa hata
kutumia tafsida? (nguruwe=noah)
 
What I know is that: A faith of a man is VALID BY ITSELF. It does not
depend on followers emotions or behaviour in general.So jokes
won't shake man's faith.
 
Mim nadhan neno 'utani' na 'udaku' hayajaeleweka vema! Ni hivi maneno hayo huwa hayamaanishi' 'ukwel' sioni umuhimu wa great thinkerz ku2piana maneno sababu ya udini! Hasa kama kwel unaelewa vema imani yako na sio mbabaishaji'
 
Dini,makanisa na misikit tutaiacha hapahapa duniani,sitaitetea dini yangu,nitaisimamia imani yangu hadi mwisho,ili nimwome Mungu wangu,nyie bakini na dini zenu,ziteteeni kwa nguvu zote!ila comedy siwapendi kwa kufanya jokes kwa imani ya kikristo!
 
Back
Top Bottom